TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Mungu amlaze anapoona panafaa.

CV yake inaonekana imeshiba na anaonekana alikuwa msomi kweli alitendea haki elimu na sio blah blah na usanii. Taifa limepoteza rasilimari muhimu sana na kiukweli..
 
Mpeni pole Da Mange
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekufa kishujaa , Kufia nje ya ccm ni hatua muhimu sana ya kuuoa ufalme wa Mungu
 
RIP Dr Mahanga,
Poleni sana wote walioguswa na msiba huu, Mungu awape faraja ya kweli.
Tufahamisheni kilichopelekea kifo chake.
 
Hakika Taifa limempoteza Msomi aliyetoa mchango mkubwa kwa Taifa,Mungu aipokee Roho yake AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP mzee


Ila jinsi ulivyokuwa ccm enzi hizo na tabia za ki ccm, mpaka unakufa nilikuwa bado siamini kuwa kweli umehamia upinzani kwa moyo mkunjufu
 
Makongoro Mahanga alikuwa mbunge wa segerea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana wafiwa. Kifo kinatukumbusha sisi hapa duniani ni wasafiri. Mwenzetu ameikamilisha safari. Tuliobaki tuweke vizuri njia na mienendon yetu mbele za Mungu.

Pumzika kwa amani Makongoro Mahanga
 
RIP
 
RIP Makongoro. Nimempenda alibaki na makamanda hadi mwisho.
Kifo chake kinanikumbusha mambo mawili:
PhD yake ina utata kwani WIU ni chuo ambacho hakina ithibati (unaccredited institution). Hiyo siyo poa kwa kiongozi.
La pili: Alipokuwa chama chetu kile "Babalao" CHAMADOLA alikimbia na sanduku la kura hii nayo haikuwa poa.
Yote ni maisha tu-MHSRIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…