TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Huyu hapa enzi za uhai wake
 

Attachments

  • Mh. Makongoro enzi za uhai wake ( 358 X 640 ).mp4
    7.3 MB
R.I.P kamanda na msomi mbobevu......ameacha legacy nyuma yake....amekufa kama kamanda .....
 
Kwahiyo unataka kusema heshima yake haitopaishwa
Amefia dhambini.
Mungu amurehemu na ampe pumziko la Milele.

Msema ukweli ni Mpenzi Wa Mungu: Chadema mmetukwaza sana Watanzania kwa kuishi maisha ya Matukio. Hebu kuweni na Ajenda 1 mpaka saizi hatuelewi Chadema msimamo wao ni upi kama Chama Mbadala cha upinzani Tanzania. Yaani wanaruka na kukanyagana kama hamna Sera si anzeni kufanya shughuli zingine. Mnatukela bwana , akili kama utopolo FC.😀😀😀😀
 
Amina.
 
Duh...pumzika kwa amani rafiki yangu...nilikuwa sijamuona siku nyingi mno..Mara ya mwisho tulionana nje when he was a junior minister...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…