Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Watu hawajui tuKongoro na chips kavu zina ladha amazing sana
Soup ya kongoro inakata hangover haraka sana
Hujui kitu hiyo kitu hata huko ulaya inapendwa sana inaitwa Paya Soup, hui kitu wazungu wanaijua sanaTanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Hilo ufanyalo ni zuri sana, ila hakikisha yamesafishwa vizuri sanangozi ya ng'ombe ni chakula kichafu, ila makongoro ni chakula kizuri sana. binafsi huwa nikipita sokoni nanunua makongoro mengi tu nampa waifu anayapika usiku, kesho asubuhi sote na watoto tunapiga supu, kuliko kwenda kula kwa waswahili (manake huwezi kuyakuta kwenye hotel au migahawa ya maana) ambako hujui wamepiga na kwa maji waliyosuuzia nyapu au la.
Samaki wa kufungwa hawafai kwa binadamuVijana kufuga samaki ni fursa kubwa sana, ufugaji wake ni rahisi sana na hauhitaji capital kubwa, jiongezeni sio mnalia lia njaa tuu kila siku na kuajiriwa ajira za kimaskini
Labda kwenu hukoSamaki wa kufungwa hawafai kwa binadamu
Nilienda kwenye tambiko kijijini chakula kilikuwa supu ya kondoo aliyenona ikiwa haina chumvi, limao wala kiungo chochote kile. Pata picha supu ya mkia wa kondoo unalazimika unywe. Ilikuwa siku ngumu zaidi.Nilijaribu supu ya ubongo wa ng'ombe nilishindwa kuimaliza. Kichefu chefu kilipanda mpaka puani. Mwe. Mnajirahidi mnaoiweza, nyie hamna mtakachoshindwa kula duniani.
Aiseee🤦😃😂We utakuwa wa kishua
Sisi huku Dom kuna chimbo wanauza supu ya ngozi yaani haijalishi ni ngozi ya nini hata iwe imewambwa kwenye ngoma za shule itabanduliwa na kutengenezwa kitaalamu mpaka iwe supu ukionja huwezi kuacha!
Hapo bado hujakutana na supu ya pumbu
Aiseee🤦😃😂We utakuwa wa kishua
Sisi huku Dom kuna chimbo wanauza supu ya ngozi yaani haijalishi ni ngozi ya nini hata iwe imewambwa kwenye ngoma za shule itabanduliwa na kutengenezwa kitaalamu mpaka iwe supu ukionja huwezi kuacha!
Hapo bado hujakutana na supu ya pumbu
kwa taarifa yako makongoro ya ng'ombeni dawa kwa wenye matatizo ya miguu!!!,,,naprotini inayopatikana kwenye nyama na makongoro pamoja na ngozi ni ileile,na kwa taarifa tu....makongoro na ngozi hazina mafuta {kolestro}...ukila makongoro na ngozi hauoti kitambi tofauti na nyama !!!!!!mimi mwenyewe bila kudangan'ya,ata kama na laki tatu mfukoni,,,nikitoka kazini nikiingia bar,kabla ya kufanya chochote lazma niagize kongoro tena "bomba"" wewe unafikiri baba wa taifa mwalimu JULIUS KAMABRAGE NYERERE alikuwa mjinga kumwita manae 'MAKONGORO??????......kunaki2 alikigundua kwenye supu hiyo pale walipokuwa wakimwagilia miyoyo yao na mzee WARIOBA ndo akaona amwite mwanae MAKONGORO NYERERE ili kuienzi supu hiyo!!!"makongoro hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji