Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

Soup ya kongoro inakata hangover haraka sana
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.

Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.

Hali ni ngumu sana.

Walevi wa pombe kali wanajifariji
Hujui kitu hiyo kitu hata huko ulaya inapendwa sana inaitwa Paya Soup, hui kitu wazungu wanaijua sana

Paya soup or bone broth is made from leg bones and hoofs of goat or lamb. It is a rich source of nutrients and minerals and is also considered an immunity booster. Mutton Paya Soup is specially prepared for elders or the ones who suffer from back pain or joints pain
 
ngozi ya ng'ombe ni chakula kichafu, ila makongoro ni chakula kizuri sana. binafsi huwa nikipita sokoni nanunua makongoro mengi tu nampa waifu anayapika usiku, kesho asubuhi sote na watoto tunapiga supu, kuliko kwenda kula kwa waswahili (manake huwezi kuyakuta kwenye hotel au migahawa ya maana) ambako hujui wamepiga na kwa maji waliyosuuzia nyapu au la.
Hilo ufanyalo ni zuri sana, ila hakikisha yamesafishwa vizuri sana
 
Vijana kufuga samaki ni fursa kubwa sana, ufugaji wake ni rahisi sana na hauhitaji capital kubwa, jiongezeni sio mnalia lia njaa tuu kila siku na kuajiriwa ajira za kimaskini
Samaki wa kufungwa hawafai kwa binadamu
 
Nilijaribu supu ya ubongo wa ng'ombe nilishindwa kuimaliza. Kichefu chefu kilipanda mpaka puani. Mwe. Mnajirahidi mnaoiweza, nyie hamna mtakachoshindwa kula duniani.
Nilienda kwenye tambiko kijijini chakula kilikuwa supu ya kondoo aliyenona ikiwa haina chumvi, limao wala kiungo chochote kile. Pata picha supu ya mkia wa kondoo unalazimika unywe. Ilikuwa siku ngumu zaidi.
 
Labda kwa nyie wa daslamu Ila huku mwangonela mbeya ndani ndani hiyo kitu inaheshimika na inaliwa Toka miaka hiyoo na Kama bajeti yako ni ndogoo huwezi kula mara kwa mara mkuu
 
We utakuwa wa kishua
Sisi huku Dom kuna chimbo wanauza supu ya ngozi yaani haijalishi ni ngozi ya nini hata iwe imewambwa kwenye ngoma za shule itabanduliwa na kutengenezwa kitaalamu mpaka iwe supu ukionja huwezi kuacha!
Hapo bado hujakutana na supu ya pumbu
Aiseee🤦😃😂
 
We utakuwa wa kishua
Sisi huku Dom kuna chimbo wanauza supu ya ngozi yaani haijalishi ni ngozi ya nini hata iwe imewambwa kwenye ngoma za shule itabanduliwa na kutengenezwa kitaalamu mpaka iwe supu ukionja huwezi kuacha!
Hapo bado hujakutana na supu ya pumbu
Aiseee🤦😃😂
 
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.

Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.

Hali ni ngumu sana.

Walevi wa pombe kali wanajifariji
kwa taarifa yako makongoro ya ng'ombeni dawa kwa wenye matatizo ya miguu!!!,,,naprotini inayopatikana kwenye nyama na makongoro pamoja na ngozi ni ileile,na kwa taarifa tu....makongoro na ngozi hazina mafuta {kolestro}...ukila makongoro na ngozi hauoti kitambi tofauti na nyama !!!!!!mimi mwenyewe bila kudangan'ya,ata kama na laki tatu mfukoni,,,nikitoka kazini nikiingia bar,kabla ya kufanya chochote lazma niagize kongoro tena "bomba"" wewe unafikiri baba wa taifa mwalimu JULIUS KAMABRAGE NYERERE alikuwa mjinga kumwita manae 'MAKONGORO??????......kunaki2 alikigundua kwenye supu hiyo pale walipokuwa wakimwagilia miyoyo yao na mzee WARIOBA ndo akaona amwite mwanae MAKONGORO NYERERE ili kuienzi supu hiyo!!!"makongoro hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom