abel p
Member
- May 8, 2020
- 54
- 61
Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia
1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto
2. Alitowa mfano wa yanga na simba akidai kuwa wale smba walipotaka kushuka daraja yanga waliamuwa kuwabeba simba kwa mbeleko ili wasishuke daraja wakiamini kuwa ikiwa simba atashuka burudani itakosekana je muliomuwlewa makongoro akimaanisha nini