mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja