Makope, marangi, makucha, na makatani ya wanawake

Makope, marangi, makucha, na makatani ya wanawake

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja
 
Mpaka Bikra Feki MTU ana 32 anakwambia she is Virgin *Stipend Ujinga Mimi*
1474826728013.jpg
 
Inakera sana, watu wanajiharibu tu wakati wakibaki natural wanapendeza.
 
Wanaendekeza ushetani
Halafu makucha hubandikwa Na gundi.kuyaondoa mpaka maji moto au toxic chemical iitwayo acetone.mambo hayoo
 
siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja
Ahah kuna kamsemo wanasemaga ukitaka uzuri sharti uzurike
Wanaendekeza ushetani
Halafu makucha hubandikwa Na gundi.kuyaondoa mpaka maji moto au toxic chemical iitwayo acetone.mambo hayoo
 
mimi afanye yote ila asipake rangi nyekundu midomo.... hua ina nikera na kunitibua kichwa. siipendi midomo yenye hiyo rangi
 
Dume kajipaka marangi rangi kibaoo, unaweza sema meneja mauzo wa SADOLIN au coral paints
 
Mnapenda vizuri usijitoe ufahamu,we mwenyewe wa kwanza kugeuka ukiwaona hao

Jamani nyie! Ushawahi kusikia mwanaume anavunja shingo kavutiwa na shedo? Shingo linavunjwa ku-"admire" maumbile asilia aliyojaliwa mwanamke.
Kweli nimeamini kinamama wengi wanaopenda vipodozi, hasa vyenye viambata sumu wameathirika kisaikolojia.
Wanawake bila ya kutumia hayo madubwasha ni warembo mno. Kikubwa kwa mwanamke ni usafi. Wanaume wanapenda rangi na maumbile mbalimbali asilia ya wanawake.
Tatizo wanadhania kila mwanamme hapa Tz anapenda mwanamke mweupe au menye"chura" mkubwa.
Utakuta ad wengine wanapanga sponji ili aonekane ana mzinga wa chura kuhadaa watafutaji!
Dhana hizo ni potofu, badilikeni.
 
siku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja
Hayakuhusu nenda kafanye kazi upate kitoweo. ..hahaha
 
Yeuwii ehhh siku nyingi sijaona wanaume wambeya yaani mna gossip! Haha
 
Back
Top Bottom