mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Ahah kuna kamsemo wanasemaga ukitaka uzuri sharti uzurikesiku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja
Wanaendekeza ushetani
Halafu makucha hubandikwa Na gundi.kuyaondoa mpaka maji moto au toxic chemical iitwayo acetone.mambo hayoo
Mnapenda vizuri usijitoe ufahamu,we mwenyewe wa kwanza kugeuka ukiwaona hao
Hayakuhusu nenda kafanye kazi upate kitoweo. ..hahahasiku hizi nashangaa wanawake wanaweka makatani kichwani,mikope ya plastiki,kujichora marangi midomoni,mikucha ya plastiki mirefu,halafu anapiga picha kabinua kibinda nkoi,limdomo kalitanguliza mbele .hapa ni utangulizi tu.HIVI NI NANI KAWAAMBIA MNAPENDEZA AU ZILE LIKES ZETU ZINAWADANGANYA .Nawasilisha hoja
Mnapenda vizuri usijitoe ufahamu,we mwenyewe wa kwanza kugeuka ukiwaona hao
mimi afanye yote ila asipake rangi nyekundu midomo.... hua ina nikera na kunitibua kichwa. siipendi midomo yenye hiyo rangi
Haya ni maneno ya mkosaji tu, hakuna mwanaume asiyependa demu anaejipamba.Wanaume hata hawaeleweki jamani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Have u got an investigation about that u have written above?Haya ni maneno ya mkosaji tu, hakuna mwanaume asiyependa demu anayejipamba.