Huyu Kaburu anamalizia mjengo(ghorofa) wake pale Iringa Mjini kwa pesa za Simba....
Nakubali nimechanganya kidogo!Umechanganya Desa mkuu. anayejenga gorofa Iringa ni Zacharia Hans pope. Hans pope anamiliki truck kibao zinapeleka mafuta nje ya nchi na wala si vijisent hivi vya Simba
Hanspop anapesa,vijisenti vya simba havina maana kwake.Ghorofa la Z Poppe pale Iringa c la mchezo mchezo...
Uthibitisho? Chuki mbaya sana. Huna piga kimya!Haya majizi nahafaa adhabu ya kifo
Sio kweli Zacharia Hans Pope ni mwekezaji mkubwa miongoni mwa wawekezaji wazawa ktk logistics hapa nchini (achana na story za vijiweni) kinacho msukuma ktk uongozi wa Simba ni mapenzi binafsi ya soka kwani ni nazi halisi wa SSC.Nakubali nimechanganya kidogo!
Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
Kafanya nini sio mchezo wa kombolela useme unaenda kwa zamuBado Mkwasa
Hapana mkuu anaemalizia mjengo pale Iringa mjini ni Hans popeHuyu Kaburu anamalizia mjengo(ghorofa) wake pale Iringa Mjini kwa pesa za Simba....