Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake G.N. Kaburu

Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake G.N. Kaburu

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
904
1. Kughushi
Aveva alighushi nyaraka ili kujilipa deni ambalo inadaiwa aliikopesha Simba USD 300,000.

2. Nyaraka za uongo

Walitumia nyaraka za uongo ili kulipa deni kutoka benki ya CRDB.

3. Kutakatisha fedha

Tarehe tofauti Aveva na Kaburu walikula njama za kutakatisha fedha UDS 300000.

4. Kutakatisha fedha

Aveva alijipatia fedha kutoka Barclays bank tawi la Mikocheni.

5. Kutakatisha fedha Kaburu
Kaburu alimsaidia Aveva kupata pesa USD 300,000 kutoka Barclays Bank tawi la Mikocheni.
 
Huyu Kaburu anamalizia mjengo(ghorofa) wake pale Iringa Mjini kwa pesa za Simba....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Umechanganya Desa mkuu. anayejenga gorofa Iringa ni Zacharia Hans pope. Hans pope anamiliki truck kibao zinapeleka mafuta nje ya nchi na wala si vijisent hivi vya Simba
Nakubali nimechanganya kidogo!

Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
 
Nilikua najiuliza siku zote kwanini watu hawataki kuachia ngazi kwenye hizi timu za bongo pasua kichwa kila siku zipo pale pale kumbe kuna ulaji huko
 
Ndio maana hizi timu kongwe hazina maendeleo hata viwanja tu hazina.

Aibu sana.
 
Nakubali nimechanganya kidogo!

Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
Sio kweli Zacharia Hans Pope ni mwekezaji mkubwa miongoni mwa wawekezaji wazawa ktk logistics hapa nchini (achana na story za vijiweni) kinacho msukuma ktk uongozi wa Simba ni mapenzi binafsi ya soka kwani ni nazi halisi wa SSC.
 
Back
Top Bottom