Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Wakuu,
Haya ni makosi ya kiufundi ambayo Mimi binafsi nimeyaona toka msimu huu kuanza na huenda yakatu cost hasa kwenye mechi za kimataifa.
1. Kiungo mkabaji (DM)
Umejiuliza Ni kwanini tunaruhusu Sana magoli ligi kuu?
JIBU ni rahisi hatuna kiungo mkabaji mwenye utukutu flani aina ya lwanga, aucho au bajana wa Azam hivyo safu ya ulinzi inafikiwa kirahisi sana.
Binafsi naona Che Malone anafanya majukumu yanayomzidi kwani unaweza kusema yeye ndio DM kumbe Ni center back. Natarajia kuona makosa mengi hasa mwenye mechi za kimataifa kama safu ya ulinzi itaendelea kuwa hivi ni ngumu sana kutoboa
Mzamiru,kanoute na ngoma ni wachezaji wenye kaliba zinazoendana. Ngoma hapendi mpira wa kugongana kabisaa na pia timu ikiwa haina mpira afu akutane na timu yenye kasi anapotea Sana sababu yupo slow.
2. WITHOUT BALL
Kwanini robertinho anamwamini Kibu?
Tupeane Moyo tu ila kwenye Mechi za kimataifa kazi ipoo.....inabidi kocha afanye kazi kubwa Sanaa hasa kwenye kiungo.

- Upambanaji (toughness)
- Without ball huyu jamaa anafanya kazi kubwa Sana anapress,anakaba mpaka mda mwingine anaingia ndani kuwa Kama kiungo