Je nini hufuata baada ya kugundua kuwa mwalimu amekosea je wanafunzi husahihishwa kwa kufuata mwongozo upi?Sijui huko TZ NECTA hufanyaje, lakini huku Kenya waalimu wa shule hufanya Mtihani sawa na watoto. Majibu ya Mwalimu ndio huwa Kielelezo au Marking Scheme inayotumika na KNEC. Ikiwa kuna kosa lolote, basi kosa hili litaonekana katika jibu la mwalimu na hivyo, wanafunzi hawataangushwa bila sababu.
Sijui huko TZ NECTA hufanyaje, lakini huku Kenya waalimu wa shule hufanya Mtihani sawa na watoto. Majibu ya Mwalimu ndio huwa Kielelezo au Marking Scheme inayotumika na KNEC. Ikiwa kuna kosa lolote, basi kosa hili litaonekana katika jibu la mwalimu na hivyo, wanafunzi hawataangushwa bila sababu.
Je nini hufuata baada ya kugundua kuwa mwalimu amekosea je wanafunzi husahihishwa kwa kufuata mwongozo upi?
Asanteni kwa michango yenu swali ni je, endapo mwalimu atakuwa amefanya makosa kwenye uandaaji(deviation kati ya data za mwalimu na expected data za necta ikawa kubwa sana) wanafunzi watasahihishwa kwa kufuata marking scheme ipi? Then what follows kwa mwalimu aliyewapeleka "chaka" wanafunzi?
Sijui huko TZ NECTA hufanyaje, lakini huku Kenya waalimu wa shule hufanya Mtihani sawa na watoto. Majibu ya Mwalimu ndio huwa Kielelezo au Marking Scheme inayotumika na KNEC. Ikiwa kuna kosa lolote, basi kosa hili litaonekana katika jibu la mwalimu na hivyo, wanafunzi hawataangushwa bila sababu.
Sawa na bongo mwalimu ndo ana andaa majibu sawa na anafanya practical dakika za mwshin
ni sawa ulivyosema lakini muuliza swali anataka kujua endapo mwalimu atakuwa amekosea kwenye maandalizi ikapelekea spare volumes/concentrations ambazo si sahihi nini necta huchukua hatua gani?
Hapo nahisi ni siri ya kambiii
Uktaka majib zaid wa face necta
Tafadhali wadau kwa mwenye ufahamu na hili anifahamishe tafadhali. Kutokana na uhaba wa wataalamu wa maabara kwenye shule za sekondari za serikali imepelekea walimu wa masomo km chemistry kuandaa practical kwa ajili ya mtihani husika. Swali langu ni kuwa endapo mwalimu atakosea katka uandaaji wa reagents na kupelekea wanafunzi kupata volumes(eg acid or base) ambazo si sahihi, je wakati wa usahihishaji necta huchukua maamuzi gani juu ya mtoto na pia mwalimu aliyewakosesha? Naomba kuwasilisha..!