Tafadhali wadau kwa mwenye ufahamu na hili anifahamishe tafadhali. Kutokana na uhaba wa wataalamu wa maabara kwenye shule za sekondari za serikali imepelekea walimu wa masomo km chemistry kuandaa practical kwa ajili ya mtihani husika. Swali langu ni kuwa endapo mwalimu atakosea katka uandaaji wa reagents na kupelekea wanafunzi kupata volumes(eg acid or base) ambazo si sahihi, je wakati wa usahihishaji necta huchukua maamuzi gani juu ya mtoto na pia mwalimu aliyewakosesha? Naomba kuwasilisha..!