Makosa kwenye mitihani ya NECTA practical form four

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
149
Reaction score
45
Tafadhali wadau kwa mwenye ufahamu na hili anifahamishe tafadhali. Kutokana na uhaba wa wataalamu wa maabara kwenye shule za sekondari za serikali imepelekea walimu wa masomo km chemistry kuandaa practical kwa ajili ya mtihani husika. Swali langu ni kuwa endapo mwalimu atakosea katka uandaaji wa reagents na kupelekea wanafunzi kupata volumes(eg acid or base) ambazo si sahihi, je wakati wa usahihishaji necta huchukua maamuzi gani juu ya mtoto na pia mwalimu aliyewakosesha? Naomba kuwasilisha..!
 
Sijui huko TZ NECTA hufanyaje, lakini huku Kenya waalimu wa shule hufanya Mtihani sawa na watoto. Majibu ya Mwalimu ndio huwa Kielelezo au Marking Scheme inayotumika na KNEC. Ikiwa kuna kosa lolote, basi kosa hili litaonekana katika jibu la mwalimu na hivyo, wanafunzi hawataangushwa bila sababu.
 
Je nini hufuata baada ya kugundua kuwa mwalimu amekosea je wanafunzi husahihishwa kwa kufuata mwongozo upi?
 
Even here we do it, but I am not sure of marking system.
 
Je nini hufuata baada ya kugundua kuwa mwalimu amekosea je wanafunzi husahihishwa kwa kufuata mwongozo upi?

Kama ninavyojua mwongozo unaofutwa ni wa Mwalimu. Labda kuna deviation ambayo haikubaliki, lakini kwa kawaida najua Majibu ya mwalimu ndio huwa Marking scheme. Ingawa kuna wakati Mmoja Katika Somo la fizikia, Walimu waliambiwa kwa mtihani wasanye vitu fulani. Mwalimu akdadisi kuwa wanataka kutest Hooke's law. Yeye naye kawachapish wanafunzi tizi kuhusu Hooke's law, kumbe mtihani waja ni kutest "Spring compression," na wala sio hooke's law kama alivyowapigisha wnafunzi tizi. Wanafunzi nao wengi wao wakafanya Kama vile ya Hooke, huku majibu zao zikiwa karibu zote sawa. Watoto hao walipe Y kwenye mtihani na results zao zikawa cancelled.
 
Asanteni kwa michango yenu swali ni je, endapo mwalimu atakuwa amefanya makosa kwenye uandaaji(deviation kati ya data za mwalimu na expected data za necta ikawa kubwa sana) wanafunzi watasahihishwa kwa kufuata marking scheme ipi? Then what follows kwa mwalimu aliyewapeleka "chaka" wanafunzi?
 
Huku ticha wa english anapewa physics asahihishe unategemea nini hapo??
 
Asanteni kwa michango yenu swali ni je, endapo mwalimu atakuwa amefanya makosa kwenye uandaaji(deviation kati ya data za mwalimu na expected data za necta ikawa kubwa sana) wanafunzi watasahihishwa kwa kufuata marking scheme ipi? Then what follows kwa mwalimu aliyewapeleka "chaka" wanafunzi?

Itafuatwa ya mwalimu maana yeye ndie alieandaa vifaa.. hapo kwenye chaka muda mwingine wanafunzi wanajitakia wenyewe,, nakumbuka katika mtihani wa o level kuna baadhi ya wenzangu hawakufanya practical hata 1 walikua wanashusha majibu waliyopewa na ticha bila kuhakikisha na hata kwenye mtihani wa A level hali ni hiyo hiyo.. sasa kama ni chaka wanafunzi wajilaumu wenyewe
 
Sijui huko TZ NECTA hufanyaje, lakini huku Kenya waalimu wa shule hufanya Mtihani sawa na watoto. Majibu ya Mwalimu ndio huwa Kielelezo au Marking Scheme inayotumika na KNEC. Ikiwa kuna kosa lolote, basi kosa hili litaonekana katika jibu la mwalimu na hivyo, wanafunzi hawataangushwa bila sababu.

Sawa na bongo mwalimu ndo ana andaa majibu sawa na anafanya practical dakika za mwshin
 
ni sawa ulivyosema lakini muuliza swali anataka kujua endapo mwalimu atakuwa amekosea kwenye maandalizi ikapelekea apate volumes/concentrations ambazo si sahihi necta huchukua hatua gani?
 
ni sawa ulivyosema lakini muuliza swali anataka kujua endapo mwalimu atakuwa amekosea kwenye maandalizi ikapelekea spare volumes/concentrations ambazo si sahihi nini necta huchukua hatua gani?

Hapo nahisi ni siri ya kambiii
 
kwa hiyo mwalimu hawajibishwi?
 
That is why necta humtaka mwalimu au muandaaji wa practical kufany maswali nakukusanya data then anaziambatanisha kwenye kwenye majibu ya wanafunzi. So during marking data zitafuatwa kulingana najins mwalimu alivo pata, Right
 
Uktaka majib zaid wa face necta

Ingawaje jibu lako linaonesha kama umechoka na hauhitaji kuchangia tena, lakini linaelekeza sehemu ambayo naweza kujibiwa kwa ufasaha zaidi.
Asante , nimekusoma FERTILIZER
 
Tafadhali wadau kwa mwenye ufahamu na hili anifahamishe tafadhali. Kutokana na uhaba wa wataalamu wa maabara kwenye shule za sekondari za serikali imepelekea walimu wa masomo km chemistry kuandaa practical kwa ajili ya mtihani husika. Swali langu ni kuwa endapo mwalimu atakosea katka uandaaji wa reagents na kupelekea wanafunzi kupata volumes(eg acid or base) ambazo si sahihi, je wakati wa usahihishaji necta huchukua maamuzi gani juu ya mtoto na pia mwalimu aliyewakosesha? Naomba kuwasilisha..!

ebu na wewe jiulize kwa nini uyo mwl anasimamia mtihani pia mwishoni anaandika taarifa
 
Back
Top Bottom