johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nilishiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 mjini Iringa ambapo ilikuwa ni vuta nikuvute kati ya m2alimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa Nccr mageuzi na Dr Hassy Kitine wa CCM.
Nilichogundua ni kwamba wanyalu hufanya maamuzi mapema na wakishaamua wameamua.. 1995 pamoja na ujio wa Nyerere kumnadi mzee Mkapa dhidi ya Mrema wanyalu walimweleza wazi kuwa ubunge CCM imeshapoteza kabla hata ya uchaguzi.
Niwashauri tu mh Happi na Kasesela kwamba kumchinja kobe kunataka timing hivyo kwa namna wanavyodeal na mchungaji Msigwa wasije kushangaa 2020 akavunja mwiko wa Iringa mjini wa " iwe isiwe mwisho miaka 10"
Ni hayo machache.........Navalonge swela!
Maendeleo hayana vyama!