Duu first class rubbish hii..
Kumbe kazi ya RC na DC wa Iringa ni kumdhibiti Mbunge Msigwa..?!
Nafahamiana na RC wa Iringa na zaidi DC wa Iringa ambae yeye tumekua wote toka wadogo mtaani then college mpaka maisha ya kazini tunakuwa pamoja (jina lake la mtaani DC Richard Kasesera toka akiwa mdogo mpaka kesho tunamuita BIBO..)
Hakuna hata mmoja wao katika hao wawili mwenye UWEZO wa hata robo ya Mch Msigwa..na wenyewe wanajijua (nikikuandikia hapa uwezo wa Hapi na "Bibo" Kasesera na imekuwaje wakafika pale..huo utakuwa ni uzi mwingine)
Labda wabebe maboksi ya kura na kukimbia nayo mtaani wazi wazi siku ya Uchaguzi ndio watamshinda Msigwa..lakini kwa Iringa ipi??...hii ninayoijua??No way.
Wale wananchi wa Iringa mjini wana Mbunge wao wa 2020 tayari siku nyingi..
Aisee kumbe sometimes huwa unatoa upupu za viwango hivi.!!.
Na kibwagizo chako eti maendeleo hayana chama..
Confirmed..U are a "Senior Idiot" wa Lumumba aisee.
Mwifwa Asprin Salary Slip BAK etc njooni huku muone mtu anavyowapa mbinu chafu RC na DC ambao ni viongozi wa Serikali namna ya kudhibiti ushindi wa Mbunge kwenye uchaguzi 2020.