Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

Yani ndipo ujue kuwa nchi hii ina tatzo kubwa. Kama hata taasisi ya kusimamia elimu ambayo unategemea iwe na wataalum hawajui hata nembo za taifa we wadhani watoto watakuwaje wanaopewa elimu
Mtoa mada muongo
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
4. Hapohapo kwenye kubadili rangi wameweka rangi ya kijani upande wa juu badala iwe chini

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
Mauzauza hoyee! Tz kichwa cha mwenda

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana tena wenye digrii.

Mtoa mada amedokeza issues sensitive lakini anashambuluwa kama mpira wa Kona.

Tanzania institute of education n wazembe sana.
Hawafuati misingi ya kuzalisha vitabu. Vitabu vyao vina makosa au viko "shalo".
 
Ni vibovu sana vitabu vyao
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
4. Hapohapo kwenye kubadili rangi wameweka rangi ya kijani upande wa juu badala iwe chini

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
Wakati mwingine Watanzania huwa tunajitakia wenyewe kutukanwa! Hivi habari kubwa kama hii unailetaje bila picha? Kwanza mtu mwenyewe bado trainee halafu unajilazimisha kujua mambo makubwa kama hayo? Mimi nasema nembo iko sahihi wacha porojo zako, utakuja kuelewa ukishakuwa trainer!
 
Yaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Huna unalotambua wewe kwenye utumishi wa umma!
 
We jamaa ni mpumb.....v wa kwanza kuwahi kukushuhudia jf.
Kama ulijua huwezi kuweka picha uliweka mada ya nini?
Mada ambayo ina ukakasi.

Eti oooh mtumishi wa umma.

Utumishi wa ny......k

Inatia hasira kuona wapumba....v kama nyny
Nakazia🤣
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
4. Hapohapo kwenye kubadili rangi wameweka rangi ya kijani upande wa juu badala iwe chini

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
Utaambiwa hizo nembo ni za mwaka 1990-1995
 
Yaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Serikali inayo furaha kuwa na watumishi mijinga kama wewe
 
Yaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Tufafanulie maadili ya utumishi kuhusu kuleta diagram ya mchoro wa nembo ya Taifa humu.
 
Yaani hata mniite zwazwa, kiazi au jina baya gani bado sitaweza kuleta picha hapa kwa sababu mimi ni mtumishi na natambua maadili ya utumishi!
Muhtasari wa masomo ni nyaraka ya siri?Kweli wewe ni mtumishi mtumwa
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
4. Hapohapo kwenye kubadili rangi wameweka rangi ya kijani upande wa juu badala iwe chini

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
Comrade, taarifa ya aina hii inatakiwa iwe na uthibitisho wa hivyo vitabu. Kinyume na hapo, utakuwa umewaacha watu njia panda.
 
ni kosa kubwa sana hilo.
nashangaa umelileta kama uvumi,sijui lengo lako ni watu waje inbox kwako uwaombe michango ya harusi??
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana tena wenye digrii.

Mtoa mada amedokeza issues sensitive lakini anashambuluwa kama mpira wa Kona.

Tanzania institute of education n wazembe sana.
Hawafuati misingi ya kuzalisha vitabu. Vitabu vyao vina makosa au viko "shalo".
unajua uzito wa ushahidi katika taarifa??

sasa hapa mamlaka zitajuaje uzito wa swala analolipoti ikiwa hata picha iliyomshangaza kashindwa kuileta??

uje JF hapa kuripoti kwamba kuna tembo mjini anazurula tu,halafu unawalaumu tanapa kwa uzembe hata husemi umekutana naye wapi?tuma picha inawezekana umekutana na punda unadhani ni tembo.
 
Hivi ni kazi kubwa kiasi gani kwenda shuleni ukaangalia hiyo mihutasari? Sehemu za kupata soft copy za nyaraka za serikali kama hizo pia hamzijui?

Washambuliaji wengi wenu msije kuwa ndio waandaaji wenyewe wa ile mihutasari! Acheni kutafuta kujishikiza mahala pasipo shikizika jambo la msingi rekebisheni Nembo ile au kama ni sahihi kuwa vile basi toeni ufafanuzi tulioona tatizo tutokwe na utata wa jambo hilo.
 
Back
Top Bottom