Mhuni ni wewe unaetetea mafisadi na wezi wa mali za umma.Haya ndiyo yatavunja heshima ya rais wa TLS, kukaa desk moja na wahuni ambao wanatakiwa kuchapwa bakora kwa utovu wa nidhamu, nashauri atume wakili mwingine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhuni ni wewe unaetetea mafisadi na wezi wa mali za umma.Haya ndiyo yatavunja heshima ya rais wa TLS, kukaa desk moja na wahuni ambao wanatakiwa kuchapwa bakora kwa utovu wa nidhamu, nashauri atume wakili mwingine!
Hana utulivu kichwani, Mimi siwezi kwenda njia Moja na jasiri mjinga kama MdudeMdude Nyagali,
Mungu amsaidie Sana misukosuko anayopitia tangu nianze kumsikia ni mingi mno
Wewe unachangamoto ya akiliTupate lidubwana levi linaloropoka ropoka hovyo halina strategic frame work useme Tutaendelea sana mimi na mch. Mwamakula tunastaajabu sana!
Definition ya uhuni ni pana. Inawezekana na wewe ukaingia kundi hilo hiloHaya ndiyo yatavunja heshima ya rais wa TLS, kukaa desk moja na wahuni ambao wanatakiwa kuchapwa bakora kwa utovu wa nidhamu, nashauri atume wakili mwingine!
Ulijuaje? Uletewe picha Mbowe akiwa mahakamani ktk kesi ya Mdude?Binafsi huwa sioni mchango wa Mdude kwenye chama, ni mtu anaetaka kukaa kwenye akili za watu kwa matukio yasiyokua na umuhimu.
Nadhani hata uongozi wa chama pia hauoni umuhimu wake, zaidi ni yeye anaejishikiza kwenye shughuli za chama.
Ndio maana hata mawakili wa chama hawajataka kujisumbua kwenda kumtetea.
Ningelikuwa na mamlaka watu wa aina hii, wabovu wa adabu, adhabu yao ingekuwa bakora tu, maana wamechagua - utoto tundu - hawako kwenye ualifu wa kuhatarisha nchi kiasi labda watekwe ni viboko tu.Definition ya uhuni ni pana. Inawezekana na wewe ukaingia kundi hilo hilo
Huyu paka abakie huko huko maana uhuru wake wa kutoa maoni kageuza ni uhuru wa kutukana viongozi na kujeruhi watu.Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Hayo yameelezwa na Wakili wake Boniface Mwabukusi kupitia chapisho aliloweka kwenye mtandao wake binafsi wa kijamii wa X Novemba 24.2024 ambapo ameeleza kuwa yeye binafsi akiwa ameambatana na Mbunge wa zamani wa Mbozi (CHADEMA) Paschal Haonga na mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Abdulkareem kwa pamoja wamefika kwenye kwenye kituo cha Polisi Itumba, Ileje anachoshikiliwa Mdude na kusimamia mahojiano yake
Amesema licha ya kwamba Jeshi la Polisi limeanza kumuhoji lakini Mdude yeye amegoma kutoa maelezo ya ziada kituoni hapo badala yake ametaka afikishwe Mahakamani ili akatolee huko maelezo hayo, jambo ambalo Wakili Mwabukusi amesema ni haki yake ya kisheria.
Kupitia chapisho hilo, Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ameendelea kufafanua kuwa makosa anayoshtakiwanayo mteja wake yanadhaminika hivyo waliomba apatiwe dhamana hiyo lakini hata hivyo jambo hilo liligonga mwamba kutokana na kile walichoelezwa kuwa maafisa wengine wa Polisi wanataka kumuhoji kutokana na makosa mengine anayodaiwa kuyatenda mkoani Mbeya
Kutokana na hilo, Wakili Mwabukusi ameahidi kurudi kituoni hapo leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ili kuendelea kumsimamia mteja wake na kwamba dhamira ni kuona haki za kisheria na Kikatiba za Mdude Nyagali zinapatikana.