Makosa Mawili Yanayoweza Kuharibu Hatima ya Mwanaume

Umeandika vitu vya maana sana
 
Napenda unvyorelate mada na bible mtumishi
Mbn hapo alieuwawa hakuwa na kosa
Hakika.....tamaa ni mbaya sana madam!

Huyu naye sijui alishindwaje kuweka paa la bafu, mda mwingine tunamlaumu tu Daudi, hata kama ningekuwa mimi huenda ningeingia kwenye 1 na 2
 
Umeongea kweli Mkuu 100%
 
Hakika.....tamaa ni mbaya sana madam!

Huyu naye sijui alishindwaje kuweka paa la bafu, mda mwingine tunamlaumu tu Daudi, hata kama ningekuwa mimi huenda ningeingia kwenye 1 na 2
Alimchungulia akioga kwani
 
Solution yake ni nini sasa kwa sisi ambao tayari tumeshawala kukosea kuoa. Wengine tumefanya yote. Suluisho mkuu
 
Alimchungulia akioga kwani
Hahahahaaaaa story ipo hivi, alikuwa anataka kwenda vitani sasa, wanajeshi wake wakamwambia mkuu wewe chiri tu, usije ukafa vitani.

Sasa akawa anazunguka zunguka ghorofani, mara paaah.... Akaona mtoto anaoga kwa mwanaume complete ni ngumu kubaki salama.....
 
Hivi upo kitaa umeotea mwanamke mzuri mmelewana kakubali na ukimuuliza anasema hajaolewa na kumbe mke wa mtu, kosa lipo wapi hapo
 
Upo vizuri kwenye bible
 
... 'She's beatiful, i love her, let's gate married'...!

Kwa hiyo mwanaume akihemka kwa penzi huanza kuongea ongea na kuwaza waza kizungu siyo?

Emb nambie akikwamishwa na huyo mwanamke, jinsi ambavyo huwaza ama kuongea kingereza.

Au maji yakimfika shingoni hahitaji tena kuwaza kingereza, huishia kuwaza na kuongea kwa kilugha cha kwao?
 
Kuhusu hiyo namba 2

Unaweza kuoa mke shahihi kwa wakati huo ila kumbuka kua,watu hubadilika,
because of life experiences, maturity, and shifting environments continuously shape their thoughts, behaviors, and values.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…