Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Jibu hoja za mleta mada acha kuongea uongo mjibu kwanza Ben saa nane na Azory wanarudije ?
Awamu hii imewaset na mkajaa.

Kwamba mapungufu yote ya CCM Awamu zilizopita anatupiwa MWENDAZAKE.

Tuiwajibishe CCM Kwa makosa yote ya Awamu zilopita.

TUIKATAE Kwa kupambania KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa na kuwa KATIBA PENDEKEZWA.

Mzee wetu ateuliwe na AAPISHWE kuwa mkt wa Tume amalizie KAZI aliyoianza.

Hatimaye tupate KATIBA mpya Kwa manufaa ya vizazi vingi vijavyo.
Amen.
 
Back
Top Bottom