Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

Labda unakula vizuri weee mzee. Kosa kubwa la mmbongo ni kuwa akishashiba yeye ana assume na wengine wote wameshiba.
Hata wakati wa magu na nyie mliamini watz wote wanashiba kumbe wengi walikufa kwa njaa, sasa kaeni kwa kutulia hivyo hivyo kutesa kwa zamu kama vipi endeleeni kumsubiri atarudi na YESU KRISTU maana now anaongoza malaika huko mbinguni😂😂
 
So far standard ya maisha yangu haijawahi kubadilika toka magu hadi sasa
 
Sijawahi kuiba na siishi kwa wizi...Naishi kawaida tu hizo raha unazosemea wewe ni zipi?
Raha kwangu ipo kwa kweli japo ndio naanza kujikongoja tena lkn matumaini yapo tofauti na yule muovu, katunyanyasa sana wafanyabiashara kilio chetu Mungu alikiskia
 
Wewe ni zuzu!

Hao uliowataja ni kina nani
mbona juzi tu hapa watu 7 wa
familia moja wameuawa kwa
mapanga wao siyo watu?
Wameuawa kipindi cha magu?
Ulimboka nae alikuwa magu
yule?
Mwangosi nae alikuwa magu?
Dr. Mvungi alikuwa magu?
Hivi umejaza mavi huko
kichwani kiasi kwamba hukumbuki kama enzi za jk
kuna bomu lilirushwa kwenye
mkutano wa chadema pale
soweto arusha likaua watu 5?
Alikuwa magu yule?
Na hawa nao vipi
umeshaambiwa wako wapi
mpaka muda huu? [emoji116]
View attachment 2305615
 
Hili Mnyaazi Mungu alifanya suluhu yake kwa wakati, yameshaisha tayari
 
Kosa kubwa la magufuli ambalo si rahisi kufutika ni KUTOKUUVUNJA MUUNGANO.
 
Kwa watu wenye fikra fupi kama mkia wa mbuzi mtaona yote aliyofanya Magufuli ni makosa tu. Ila kwa watu wenye upeo wa hali ya juu wanaelewa how strategic that nigga was.

Jamaa hakupenda siasa za kinafiki na uzanidiki na focus yake ilikuwa ni kuleta maendeleo ya haraka sana hakutaka mambo ya kujivuta na siasa za chokochoko ndio maana aliwafyeka mikia wajinga wajinga wote waliokatiza katika anga zake.

As opposed watanzania wengi walizoea kubembelezwa kutekeleza majukumu yao ila kipindi cha huyo mzee watu waliwajibika ipasavyo sababu walijua anytime mtaa unaweza ukakupokea kwa fedhea kubwa. Ilikuwa bahati mbaya kwa wenye vyeti feki pia sababu watu wote waliokuwa wanaishi kimagumashi walitubu 😂😂😂 na hawa ndio miongoni mwa waombolezaji wengi ambao walikuwa wanashangilia kifo cha mwamba na kuspin mabandiko ya kipuuzi kila kukicha humu.
Kinaniuma moyo ni kuwa kulikuwa na majinamizi ya karibu sana ambayo aliyaamini huku yakiwa na ya kwao moyoni na sasa yanajitokeza hadharani kuonyesha real colour zao
 
Kosa kubwa kufanywa magufuli ni kutaka kuua upinzani alisahau kua upinzani ni wanainchi na ukigombana na wanainchi hapo unaingia kwenye ugomvi WA moja kwa moja Na MUNGU
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kusiliza malalamiko ya wa wawananchi kwa muda muafaka kabisa. Sipati picha chi yetu ingekuwa na hali gani wakti huu..
Mungu hoyeeeee
 
Kwa watu wenye fikra fupi kama mkia wa mbuzi mtaona yote aliyofanya Magufuli ni makosa tu. Ila kwa watu wenye upeo wa hali ya juu wanaelewa how strategic that nigga was.

Jamaa hakupenda siasa za kinafiki na uzanidiki na focus yake ilikuwa ni kuleta maendeleo ya haraka sana hakutaka mambo ya kujivuta na siasa za chokochoko ndio maana aliwafyeka mikia wajinga wajinga wote waliokatiza katika anga zake.

As opposed watanzania wengi walizoea kubembelezwa kutekeleza majukumu yao ila kipindi cha huyo mzee watu waliwajibika ipasavyo sababu walijua anytime mtaa unaweza ukakupokea kwa fedhea kubwa. Ilikuwa bahati mbaya kwa wenye vyeti feki pia sababu watu wote waliokuwa wanaishi kimagumashi walitubu 😂😂😂 na hawa ndio miongoni mwa waombolezaji wengi ambao walikuwa wanashangilia kifo cha mwamba na kuspin mabandiko ya kipuuzi kila kukicha humu.
This is rubbish big time.. the tyrant you are glorifying was s true devil.. power hungry and ready to kill.. Tz doesn't need a tyrant to develop, it needs wisdom, integrity and empathy instead.
Rot in hell jiwe
 
Kina mwalimu wa psychology ,Anaitwa " Alleni" hivi ndie huyu?
 
Back
Top Bottom