Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Labda unakula vizuri weee mzee. Kosa kubwa la mmbongo ni kuwa akishashiba yeye ana assume na wengine wote wameshiba.Magufuli hakua na tofauti na baba mwenye utajiri mkubwa anaonekana anajenga mijumba na magari ya kifahari lakini nyumbani watoto wanakufa njaa na kuvimba tumbo kwa lishe duni,
Angeendelea kutawala hadi sasa amini nawaambieni tungemtoa kama wale jamaa wa sirilanka.
Sasa vitu vinapanda bei lkn bei tunakula vizuri, enzi zake vitu bei rahisi lkn hela hamna. MUNGU aliingilia kati kuokoa hili taifa letu.