Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #241
Mstaarab ni mstaarab tu. Mtumia mabavu hawezi kuwa mstaarabu hata siku moja.Maarifa unayatumia kwa watu waliostaarabika sio watu ambao wanajifanya much know😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstaarab ni mstaarab tu. Mtumia mabavu hawezi kuwa mstaarabu hata siku moja.Maarifa unayatumia kwa watu waliostaarabika sio watu ambao wanajifanya much know😄😄😄
Hata tundu lisu hajui mpaka sasa kwamba dishi limeyumba japo tunamwambia kila siku. Kama wewe uko tofauti naye basi changanya na zakoHuwezi kujua kama una mapepo mpaka ukizinduka toka chini ulipoanguka baada ya kuombewa.
Mawazo yako wewe mwenyewe huyaelewi. Ni kama mtu mwenye matatizo ya uoni wa rangi ( Color Blind ) halafu anataka kuwabishia watu wanaomuelezea utofauti wa rangi nyekundu na bluu kwenye shati lake.Hata tundu lisu hajui mpaka sasa kwamba dishi limeyumba japo tunamwambia kila siku. Kama wewe uko tofauti naye basi changanya na zako
Nadhani wakti wa Magufuli upinzania ulikuwa na nguvu ila ukawa unaelekeza nguvu hizo kusikohusika; kwa mfano kwenda kufanya fujo gerezani au kupinga mambo kwa data za kufikirika. Sasa hivi ndiyo hamna upinzani kabisa.Kosa kubwa kufanywa magufuli ni kutaka kuua upinzani alisahau kua upinzani ni wanainchi na ukigombana na wanainchi hapo unaingia kwenye ugomvi WA moja kwa moja Na MUNGU
kwani yule kiwete anaelelewa ubeligiji aliambiwa mara ngapi aache kumdhihaki raisi,😂😂😂!? How many times na mahakamani alifikishwa kwa maonyo. Ila mwisho alivuna alichokipanda.Mstaarab ni mstaarab tu. Mtumia mabavu hawezi kuwa mstaarabu hata siku moja.
Ili uwepo unataka uone nini ndiyo ujue upinzani upo??Nadhani wakti wa Magufuli upinzania ulikuwa na nguvu ila ukawa unaelekeza nguvu hizo kusikohusika; kwa mfano kwenda kufanya fujo gerezani au kupinga mambo kwa data za kufikirika. Sasa hivi ndiyo hamna upinzani kabisa.
Mtumia bunduki (kwa maelezo yako) alitaka auawe ila Mungu akamnusuru.Ila mwisho alivuna alichokipanda.
Acha ushoga wewe, Magufuli alitumia bunduki ipi usinilishe maneno ntakuchenjia mda sio mrefu...Mama weweMtumia bunduki (kwa maelezo yako) alitaka auawe ila Mungu akamnusuru.
Upinzani wa hoja sio uzushi wa kutafta attention ya mitandaoni na kuleteana dharau za kichoko.Ili uwepo unataka uone nini ndiyo ujue upinzani upo??
Kwa kweli matumizi ya Bunduki katika kuendesha mambo ni jambo baya sana. Ni dalili ya udhaifu wa kiuongozi.Acha ushoga wewe, Magufuli alitumia bunduki ipi usinilishe maneno ntakuchenjia mda sio mrefu...Mama wewe
Dr. Slaa si ni mpinzani mbona alipewa ubalozi Ulaya?Kwa kweli matumizi ya Bunduki katika kuendesha mambo ni jambo baya sana. Ni dalili ya udhaifu wa kiuongozi.
Kwa kweli nchi ilikuwa inaelekea pabaya. Kila mkoa ungekuwa na mtumia bunduki kuongoza ingekuwaje?Bunduki ilitumika mkunduni mwako labda.
Mwelekeo ulikuwa ndio huo. Ule mfano wa "Msaliti huwa anafanywa nini" wengi bado tunaukumbuka.Hayo ni mawazo yako tu.
Hujui kitu kabisa yaani !!Upinzani wa tz ni dhaifu sana!
Fikiria mtu yuko belgiji mwingine canada mwingine ameungana na ccm kuramba asali ili kumkomoa marehemu alafu 2025 utaona wanahaha wakitegemea nao watashinda
[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo yuko wapi ? unajua kwanini ?Kwa watu wenye fikra fupi kama mkia wa mbuzi mtaona yote aliyofanya Magufuli ni makosa tu. Ila kwa watu wenye upeo wa hali ya juu wanaelewa how strategic that nigga was.
Jamaa hakupenda siasa za kinafiki na uzanidiki na focus yake ilikuwa ni kuleta maendeleo ya haraka sana hakutaka mambo ya kujivuta na siasa za chokochoko ndio maana aliwafyeka mikia wajinga wajinga wote waliokatiza katika anga zake.
As opposed watanzania wengi walizoea kubembelezwa kutekeleza majukumu yao ila kipindi cha huyo mzee watu waliwajibika ipasavyo sababu walijua anytime mtaa unaweza ukakupokea kwa fedhea kubwa. Ilikuwa bahati mbaya kwa wenye vyeti feki pia sababu watu wote waliokuwa wanaishi kimagumashi walitubu [emoji23][emoji23][emoji23] na hawa ndio miongoni mwa waombolezaji wengi ambao walikuwa wanashangilia kifo cha mwamba na kuspin mabandiko ya kipuuzi kila kukicha humu.
Huo uzushi wa kusikohusika umeutoa wapi ?Nadhani wakti wa Magufuli upinzania ulikuwa na nguvu ila ukawa unaelekeza nguvu hizo kusikohusika; kwa mfano kwenda kufanya fujo gerezani au kupinga mambo kwa data za kufikirika. Sasa hivi ndiyo hamna upinzani kabisa.
Mkuu hongera na pole. Unabishana na watu mnaopishana sana IQ na wenye fixed mindset. Hamtakaa mkubaliane kitu.SGR kwanza siyo teknolojia bali ni upana wa Reli. Treni za umeme zilikuwapo hata kabla ya kuja kwa reli za SGR. Na hoja ya kuongezeka kwa ufanisi kwa kuwa reli imekuwa ni SGR siyo kweli. Ufanisi hauletwi kwa kuwa na reli pana bali ubora wa menejimenti.
Haya ya bei ya umeme kuwa rahisi kwa kuwa unazalishwa kwa maji (Hydroelectricity) ni ya uongo. Gharama za umeme zinakokotolewa kutokana na mambo mengi sana.
Ni kweli jamaa ana akili kubwa mno lakini anabishana na watu duni sana !Mkuu hongera na pole. Unabishana na watu mnaopishana sana IQ na wenye fixed mindset. Hamtakaa mkubaliane kitu.
Kwa mtazamo wangu mimi Magufuli alikuwa “matokeo” tu ya janga au msiba wa mfumo fyongo wa CCM ambao bado tunao unaoendelea kulitesa taifa hili. Hakika alikuwa kielelezo kikali sana cha jinsi tulivyowezesha utawala wa kiimla (tyrannical rule) nchini. Kama hatukujifunza pale ole wetu huko mbeleni. The future will be really bleak.
Utaona hata utawala wa sasa hauko tayari kufagia mabaya yote ya awamu ya tano. Wanabakiza kidogo yale yaliyo na “manufaa” kwa CCM na serikali yake; yanaoupa utawala mkono wa chuma dhidi ya wananchi. Wasiojuwa wanafikiri waathirika ni “wapinzani” bila kujiuliza wapinzani ni kina nani hasa?
Nyerere naye alipokuwa nje ya madaraka, alilalamika hivyo hivyo kwa awamu ya pili kama vile si yeye aliyeliumba hilo zimwi: eti wameacha mazuri yetu wamekumbatia makosa tuliyofanya. Udikteta umeongezeka. Rushwa imekithiri. Haki za binadamu zinachezewa chezewa tu!…
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE.
Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa ngumu sana kurudi kwenye njia sahihi kiurahisi. Kitu pekee kinachoweza kufanyika ni kusuluhisha mitazamo yetu na uhalisia wa mambo.
Kwa mfano; chuki kati ya wafuasi wake na wale waliokuwa wanaipinga falsafa yake ya undeshaji nchi inarekebishwaje? Jee watu waliodhurika wakati wa utawala wake wanaponaje ama wale waliopotea wanapatikanaje? Leo hii hawa kina Ben Saanane, Simon Kanguye, Azor Gwanda nani anajua walipo na inawezekana wakarudishwa kwa familia zao. Lissu na wengine waliopata ulemavu zama hizo maisha yao yanaweza kurejerezwa?
Nani mwenye akili timamu anayeweza kusimamisha ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kwa hatua ililofikia. Au SGR inawezaje kuwachwa wakati tayari mabilioni ya shilingi yameteketea kwenye mradi huo tayari. Nani ataruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wakati CCM amri ya marufuku hiyo haiwahusu?
Ndio mawazo yako yameishia hapo?Baba wa hivyo ni mzuri sana!
Kuliko kutumbua minyama, bora ujibane ule makande kila siku ili ujenge vitegauchumi vitakavyowasaidia watoto baadae ambavyo vitakuja kuwafanya wale minyama miaka yote hapa duniani