Suleman Jr
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 341
- 525
Hata wakati wa magu na nyie mliamini watz wote wanashiba kumbe wengi walikufa kwa njaa, sasa kaeni kwa kutulia hivyo hivyo kutesa kwa zamu kama vipi endeleeni kumsubiri atarudi na YESU KRISTU maana now anaongoza malaika huko mbinguni😂😂Labda unakula vizuri weee mzee. Kosa kubwa la mmbongo ni kuwa akishashiba yeye ana assume na wengine wote wameshiba.