R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 1, 2022 #301 Gweregwere said: Jibu hoja za mleta mada acha kuongea uongo mjibu kwanza Ben saa nane na Azory wanarudije ? Click to expand... Awamu hii imewaset na mkajaa. Kwamba mapungufu yote ya CCM Awamu zilizopita anatupiwa MWENDAZAKE. Tuiwajibishe CCM Kwa makosa yote ya Awamu zilopita. TUIKATAE Kwa kupambania KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa na kuwa KATIBA PENDEKEZWA. Mzee wetu ateuliwe na AAPISHWE kuwa mkt wa Tume amalizie KAZI aliyoianza. Hatimaye tupate KATIBA mpya Kwa manufaa ya vizazi vingi vijavyo. Amen.
Gweregwere said: Jibu hoja za mleta mada acha kuongea uongo mjibu kwanza Ben saa nane na Azory wanarudije ? Click to expand... Awamu hii imewaset na mkajaa. Kwamba mapungufu yote ya CCM Awamu zilizopita anatupiwa MWENDAZAKE. Tuiwajibishe CCM Kwa makosa yote ya Awamu zilopita. TUIKATAE Kwa kupambania KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa na kuwa KATIBA PENDEKEZWA. Mzee wetu ateuliwe na AAPISHWE kuwa mkt wa Tume amalizie KAZI aliyoianza. Hatimaye tupate KATIBA mpya Kwa manufaa ya vizazi vingi vijavyo. Amen.