Makosa ya kuepuka katika uvaaji wako wa suti

Bravo, tunataka post kama hizi
 
Huwa kuna mtangazaji moja hivi wa KITUO flani cha television, sijui nini nini..... "Brand", huyo jamaa huwa anapenda sana kutangaza taarifa za biashara. NAOMBA TAFADHALI SANA SANA SANA huu uzi umfikie kama ulivyo pasipo chenga.
 
Hapo ndio huwa najiuliza au kuna watu wanaazima hizo nguo wanatakiwa wazirudishe baadae dukani?
Inakuwaje unatembea na label? Kuna ingine ameisahau kidogo hizi suti zinakuja hazijafumuliwa mifuko ya koti, wengine wanaicha hivyo hivyo....

ushamba ni ugonjwa mbaya sana
 
Picha ya kwanza ya kuonesha Vest inamuhusu kiongozi mkubwa sana nchi hii. Nimemuona mara mbili vest yake imechomoza kwa juu!
Yule mshamba tu..!
Ah..sory! Unamaanisha kiongozi mkubwa..kumbe nilikurupuka nikajua jamaa flani hivi.!
 
Picha ya kwanza ya kuonesha Vest inamuhusu kiongozi mkubwa sana nchi hii. Nimemuona mara mbili vest yake imechomoza kwa juu!

Au ndio ilikuwa mada yake hii, sema imekuja kwa mgongo wa nyuma
 
Picha ya kwanza ya kuonesha Vest inamuhusu kiongozi mkubwa sana nchi hii. Nimemuona mara mbili vest yake imechomoza kwa juu!
Nimecheka kwa sauti nilivyosoma comment yako looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…