Makosa ya kuepuka katika uvaaji wako wa suti

Makosa ya kuepuka katika uvaaji wako wa suti

img-20161004-wa0002-jpg.432137


Hapo ndio huwa najiuliza au kuna watu wanaazima hizo nguo wanatakiwa wazirudishe baadae dukani?
Inakuwaje unatembea na label? Kuna ingine ameisahau kidogo hizi suti zinakuja hazijafumuliwa mifuko ya koti, wengine wanaicha hivyo hivyo....
Ile lebo ukiichomoa inaacha alama ya matundu.
 
Ile lebo ukiichomoa inaacha alama ya matundu.

Hapana mkuu, imeshikizwa kwa nyuzi mbili tu, huenda zinatofautiana lakini nyingi nilizokumbana nazo unakata zile nyuzi unaendelea na maisha.
 
Hiyo namba 3 kuhusu urefu wa surual kiukwel inategemeana na fashion na mamb yanabadilika

Sahv mtu kuvaa suru fupi na tai ni kawaida coz ndo fashion
Inategemea na umri pia wadhifa mkuu.

Huwezi vaa hiyo fasheni uko na 35+age au ni co wa kampuni za watu na akili zao.
 
1. Viatu na mkanda wa suruali inapendeza zaidi vikiwa rangi moja.
2. Inapendeza tai ikiwa ni dark. Sio tai na shati vilingane rangi. Obvious tai itamezwa rangi na shati.
3. Mlegezo hapana.
4. Koti likutoshe vizuri, sio oversize.
5. Kama koti lina vifungo viwili na ukaamua kufunga vifungo, inapendeza (sio lazima lakn) zaidi ukifunga kifungo cha juu peke yke. Au nunua koti "single button".
6. Ukipata saa nzuri, ni poa zaidi.
 
Huu ndo umuhimu wa JF. Msisahau wanaume.... Rangi ya mkanda wa suruari iendane na rangi ya viatu!!!!!
 
Back
Top Bottom