Mkuu mimi sijajua shida nini.Nimecheka kwa sauti nilivyosoma comment yako looh
[emoji23] [emoji23]Mkuu kama bado unakua hutakiwi kuwa jf
Ile lebo ukiichomoa inaacha alama ya matundu.
Hapo ndio huwa najiuliza au kuna watu wanaazima hizo nguo wanatakiwa wazirudishe baadae dukani?
Inakuwaje unatembea na label? Kuna ingine ameisahau kidogo hizi suti zinakuja hazijafumuliwa mifuko ya koti, wengine wanaicha hivyo hivyo....
Ile lebo ukiichomoa inaacha alama ya matundu.
Haijafutwa mbona mi naiona
Inategemea na umri pia wadhifa mkuu.Hiyo namba 3 kuhusu urefu wa surual kiukwel inategemeana na fashion na mamb yanabadilika
Sahv mtu kuvaa suru fupi na tai ni kawaida coz ndo fashion
Inategemea na umri pia wadhifa mkuu.
Huwezi vaa hiyo fasheni uko na 35+age au ni co wa kampuni za watu na akili zao.
Mie mbavu sina
Anakua naloHAPO VIPI
Alaumiwe sana yule babu, kasababisha watu wameacha akili zao loliondo, taifa linazidi kuteketea kwa kukosa maarifa.Anakua nalo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anakua nalo