Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Unajua wabongo wengi tunawaza kiswahili, na tukitaka kuongea kingereza tunaanzia kwenye kiswahili kisha kingereza.
Sasa kuna vioja ambavyo huwa naviona watu wanajitutumua kwenye mitandao
Mfano
1. Young Mother: akimaananisha mama mdogo
2. Young Dad: akimaanisha : Baba mdogo
3. Young grand father: Mdogo wa babu.
Sasa mlio pita ST Tabutupu pale Mabagala ebu tuambieni njia bora zaidi ya kupiga ngeli..
Maana kuna mtu alichekwa sana kwa maneno hapo juu.