Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Wewe ni mjinga tu. Musiba anayetaka watu wauawe, wapewe vilema? Are you serious? Akili zitakuwa Makalioni.
 
Muchuma janga hula na wakwao. Kwanza angenyongwa tu
 
Hakuna cha tamaa, msiba hata mali zake zote ziuzwe hazipati hata 10% ya anachodaiwa. Atiwe adabu tu.

inachitakiwa
 
Membe alidhalikishwa sana na Musiba. Wale wanaomtetea msiba ingieni You tube usikikize alivyomdhalilisha mtu ambaye alikuwa waziri wa mambo ya nje aliyejenga heshima yake miaka kibao, mhuni mmoja akamvunjia heshima ya dk 5 kwa press za kidhamba kisa kakingiwa na Magu.

Membe alitaka fidia 20b mahakama ikapunguza mzigo hadi hiyo 9.9b

Na alipe iwe fundisho kwa vibaka wengine kama yeye. Wanaomtetea wamchangie alipe fidia ya huyo mzee.
 
Aachane na utoto huo Watanzania bado wanamhitaji awatumikie kwenye mambo makubwa na muhimu ya Nchi
 
Unadhani ukipewa haki yako ni tusi?Wewe huwa ni lipumbav sana.Tena sana.Unamzidi Lucas Mwashambwa mbali sana.Ni lipumbaff!
Ujue kuwa, unifikiriavyo wewe, huwezi kunibadiri na siwezi kuwa wewe, na sijui kwa nini unafuata uzi wa kipumbavu kama si kukosa akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…