Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Utajiri alio nao Membe atanunua kijiko chako chote na kubakiza pesa nyingi tu. Kifupi Membe anamkomesha Tu huyo fedhuli Musiba ili iwe fundisho kwa wengine. Huenda hiyo pesa akiipata atafungua foundation asaidie Jamii. Nimeipenfa Sana hii. Hivi Musiba Yuko wapi siku hizi? Yaani utafikiri alikufa tarehe 8 March 2021. Hahahaha
 
Huyu mzee wa goli la dakika ya 89 sioni ni namna gani atajijenga kisiasa kwa kumdai msiba bilioni 9, mimi naona itamfanya aonekane irrational......
Hizo pesa anaweza jenga shule, barabara na dispensari jimboni kwake(atakapotaka) wakaishia kama Dar.
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema

Na hilo sio kosa la Membe, ni la Mahakama, na hiyo Mahakama ndo msiba na wahuni walikuwa wanatumia kuumiza watu
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Acheni Musiba alipe alichopanda.

Mahakama nimeona hicho ndicho anachostahiri Membe. Wewe Unatuma vigezo vipi!? Mbona Musiba hajitetei mwenyewe wala kuomba msamaha bali nyinyi ndiyo mnaganya hivyo!?
 
we kinakuwasha nini, au una maslahi gani, au umetumwa? Kafanye mambo yako na usiwe na akili km Msiba
Mwache huyo ni timu Musiba. Sisi team Wazalendo hatutaki kudhalilisha watu. Musiba alidhalilisha Viongozi wengi mno na wote wakiamua kujitokeza nakuambia Musiba atauzwa Utumwani visiwa vya Carrebean kabisa
 
Musiba atoe billion 9 Kwan nini tatizo si alipe we unafikiri defamation ni kesi ndogo ulipwe elfu 3 uende au sio? Tena hio billion 9 kaonewa huruma sana tena sana angepigwa hata billion 100, defamation hainaga mchezo mchezo
Yaani kuchafua potential presidential candidate anafikiri ni mchezo? Tena hiyo bil 9 ni ndogo mno. Yaani alitakiwa alipishwe bill 200 na kuuzwa utumwani kabisa.
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Ulisikia Membe ni jaji? Hata kama angekuwa jaji asingeweza kuhukumu kesi yake kwani kanuni za kisheria zingembana.Sasa tamaa yake iko wapi?
 
Inaitwa liability for abusive or insulting language
Na unashinda kesi mapema kwani ni kosa kubwa na halikubaliki

Membe kafungua kesi na wanasheria wamelisimamia na Hakimu katoa hukumu
Hapo Membe hana tamaa yoyote bali alitaka sheria ifuate mkondo wake na haki yake atapata

Humu Kuna marobot yanatukana yanapigwa ban au linapita kimya ila kama tunajuana kwa majina ya ukweli mbona ni wengi wangelia hata kwa faini ya million tu?

Tujifunze kuheshimu utu na watu
Musiba hana heshima wala adabu na anastahili kila kosa alipe
Ametenda mabaya sana na kumtetea inahitaji uwe Devils [emoji48] advocate
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Hivi waliosema membe alikula pesa za gaddafi si ndo hawa CDM miaka ya nyuma huko
 
Back
Top Bottom