Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Hata kama, wewe unadhani bilion 9 ndio faraja kwao?
Musiba atoe billion 9 Kwan nini tatizo si alipe we unafikiri defamation ni kesi ndogo ulipwe elfu 3 uende au sio? Tena hio billion 9 kaonewa huruma sana tena sana angepigwa hata billion 100, defamation hainaga mchezo mchezo
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Wewe ni mtoto mkubwa wa musiba naona
 
Hata kama sio faraja. Itasaidia kujenga utaratibu wa kuheshimu utu wa mtu. Kisa tu mtu hakubaliani hoja yako ndio utake kumfilisi?

Umfanye mtu na ndugu zake waishi bila amani wakati wameshiriki kuijenga Tanzania unayoiongoza wewe.

Angalau sasa hivi, nduguze wanaamani kuliko kipindi kile.
Na wao ufisadi waliolifanyia taifa hili ni faraja kwa Watanzania sio!
 
Ebu toa hesabu yako kuhusu fidia aliyostahili kulipwa, kuliko kuiacha mada yako ikielea tu angani. Je! Kama kiasi cha mabilioni ni kikubwa sana, unashauri kiasi cha fidia kingalipaswa kiwe katika makadirio ya maelfu, malaki ama mamilioni ya fedha za Kitanzania!?

Weka wazi nini unachokifahamu kuhusu ukubwa wa kosa ambalo alifanyiwa mbele ya macho ya sheria, kisha uainishe na kiwango cha madhara ya kosa hilo kwa Membe. Na hatimaye ujenge hoja yenye mantiki kuhusu kadirio la chini kabisa, na pia lile la juu kabisa la kiasi cha fidia unachofikiria kinafaa alipwe. Kisha ndipo ulete jumuisho lako kwa kuainisha tamaa ya Membe katika fidia hiyo.
Kwa mtu kama Musiba,ikitolewa hukumu ya kulipa Milioni 100 bado ni kubwa sana kwake.
Bilioni 9 hapo Membe alitumia Rushwa na influence yake kwa Majaji Ili kutoa hukumu ya kumkandamiza Musiba.
 
Inawezekana ndo lile goli la dakika ya 89 alilokuwa anatwambia, maembe bhanaa.....

Halafu kwenye nchi ambayo kipato wastani cha mwananchi kwa mwaka hakifiki laki 5 huku asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wakiishi chini ya mstari wa umaskini mahakama ina justify vipi hiyo fidia ya bilioni 9? au ndo sheria alizotuachia beberu hizi ambazo hazizingatii hali halisi ya maisha ya watu.​
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
1-Kwani maamuzi yalitoka kwa membe au mahakama
2-membe ni mtu ambaye anaheshimika kitaifa na kimataifa hata hiyo bil 9 ni kubwa kwako wewe masikini wa akili na mali huyu mbweha alipaswa kulipa zaidi ya hiyo bil 9
3-jichangeni machawa wa mwendakuzimu mumlipe membe mpunga wake
4-shwaini nyie mmepanda bangi na mvune bange yenu pia.
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Ni fundisho kwa machawa wote ukiwemo wewe.
 
Mfano ww ndio mtoto wa membe na umesikia baba anatakiwa alipwe 9B utamwambia baba msamehe.

Maskini wana huruma sana na wanahurumiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Membe jinsi navyo mdharau hata angelipwa trillion 900 hainibadilishi chochote namuona ni mjinga fulani hivi aliyechangamka.
Huyu mzee wa goli la dakika ya 89 sioni ni namna gani atajijenga kisiasa kwa kumdai msiba bilioni 9, mimi naona itamfanya aonekane irrational......
 
Back
Top Bottom