Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Hizo pesa anaweza jenga shule, barabara na dispensari jimboni kwake(atakapotaka) wakaishia kama Dar.
Membe Angekuwa na ubinadamu huo angejengea mabilion ya Gadafi aliyofisadi.
Fisadi ni fisadi tu
Hata hukumu ni yakifisadi
Hiyo bilion 9 ukiongeza 1 ndio pesa waliyouziwa CCM chama cha CHADEMA ili lowasa agombee 2015.
Sasa Leo mtu mmoja tena mwanahabari eti anahukumiwa kulipa bilion tisa naamini hata huyo mtoa hukumu hajawahi ota kuzishika.
Rushwa, rushwa, rushwa
 
1-Kwani maamuzi yalitoka kwa membe au mahakama
2-membe ni mtu ambaye anaheshimika kitaifa na kimataifa hata hiyo bil 9 ni kubwa kwako wewe masikini wa akili na mali huyu mbweha alipaswa kulipa zaidi ya hiyo bil 9
3-jichangeni machawa wa mwendakuzimu mumlipe membe mpunga wake
4-shwaini nyie mmepanda bangi na mvune bange yenu pia.
Kwa kifupi tu,hiyo hukumu haitekelezeki,utakuja niambia,ni swala la muda tu itatenguliwa!!
 
Bilioni 9 ni kidogo sana kwa dharau zake.
Angemdai 15B mleta mada ungeshikwa na tumbo la uzazi + kubleed kwa pamoja.
Acha tabia za kutetea ujinga.
Wacha anyooshwe.
 
Ukishamchafua mtu umejiweka wazi kulipa gharama zozote zile, kwa sababu utu wa mtu hauna bei.

Yani kuna watu wanaweza kupiga mahesabu ya thamani ya utu wa Membe, wakaona bado Musiba hajalipishwa alivyotakiwa.

Kama huko tayari kulipa gharama yoyote, usichafue mtu tu.
Hyu Msiba alivokuwa anatumia mdomo kukashfu, alkuwa anafkiri mdomo wke ni mradi mradi tosha, kwmba mkubwa flani angeuskia na kuuona kisha kulijaza tumbo lake. kifupi mdomo wake umeliponza tumbo lake. wanaomuona kaonewa wapitie upya kauli zake. alokuwa anamtegmea ss hayuko, ss anajutia kuutumia mdomo vbaya
 
Hata kama sio faraja. Itasaidia kujenga utaratibu wa kuheshimu utu wa mtu. Kisa tu mtu hakubaliani hoja yako ndio utake kumfilisi?

Umfanye mtu na ndugu zake waishi bila amani wakati wameshiriki kuijenga Tanzania unayoiongoza wewe.

Angalau sasa hivi, nduguze wanaamani kuliko kipindi kile.
Kwa hali ya kiimani mtoa mada ukobsahihi. Ila kwa sheria za duniani huko sahihi. Kumkashifu mtu ni kosa kubwa na nizaidi ya hiyo b9. Biblia 1 Wakorintho 13:4
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

1 Wakorintho 13:5
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

1 Wakorintho 13:6
haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

1 Wakorintho 13:7
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

Kwa muktadha wa kidini Membe amsamehe Musiba.
 
Wewe jamaa khaaa iyo fidia ama adhabu hajatoa mzee Membe imetoa mahakama kwa kwa kuangalia hadhi ya mtu Katika jamii

Mzee Membe ni mtu wa heshima katika Taifa hili ni baba mjomba kaka babu mme shemej wazir wa Taifa na kimataifa acha msiba avune alichopanda mzee
 
Jopo la mawakili waaminifu wakae kwa makini ili wachunguze madai ya Musiba kuhusu Membe. Kuna ukweli ndio maana kadai pesa nyingi kiasi hicho. Musiba ni mtu mzima mwenye akili timamu.
 
hiyo fidia ni funzo kwa baadhi yenu ambao mukipata vyeo munaona ni sawa kutukana wenzenu.

Sasa mtu atafikiria vizuri kabla ya kupanda kichwa na kuanza kutukana wenzake.
Siyo kupata vyeo, bali wakipata godfather muuaji asiyejua thamani ya uhai wanatukana na kutesa wengine wakijua huyo ni mungu wao ataishi milele. Afundishwe tu adabu
 
Tatizo la masukumagang uwezo wa kureason ni sifuri hasa mmoja wao akikamatwa kama hili juha! Kweli we kisamvu
 
Wasiompenda JPM wanashangilia sana kwa sababu .Musiba anakomolewa kupitia sheria na Mahakama inaonekana imetemda haki. Lakini mahakama hiyo hiyo ikiamua dhidi ya wapinzani inaonekana imepokea maagizo na haiko huru.

Waziri mmoja wa zamani wakati anakata rufaa kupinga ushindi wa kesi ya mgombea binafsi katika uchaguzi alisema: Mahakama ni mtu kama mimi na wewe"
Lipumba baada ya uchagu,zi mkuu aliwahi kusema kuwa mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar alihongwa pesa na akanunua nyumba; yule mwenyekiti alienda mahakamani Lipumba alihukumiwa amlipe milioni 30; sasa ukilinganisha kiwango alichohukumiwa Musiba kulipa ni wazi japo hukumu inaheshimiwa lakini kuna hisia kukomolewa. Hivi Musiba hakukata rufaa au rufaa pia alishindwa? Sikuwahi kufuatilia hiyo kesi.

Tujiulize maswali mowili: Hivi JPM angekuwepo hiyo hukumu ingetoka jinsi ilivyo? Ingetekelezeka.?
Hoja yako hapo ni nini?
Musiba hakufanya kosa kwa sababu alikuwa analindwa na Magufuli?
Mahakama haijamtendea haki?
Na kwamba angekuwepo jambazi Magufuli hakimu asingetoa hiyo hukumu?
Na wewe jiulize kwa nini Musiba hakutaka kumuomba radhi Membe wala kuhudhuria mahakamani? Nani aliyempa kiburi hicho?
Sukumagang mnajulikana kwa reasoning zenu very shallow
 
Ungedaiwa wewe iyo 9B ungeona ni sawa? Mbona kila siku unamsema marehemu kwa kumdhalilisha lakin hujawahi daiwa chochote, lakin maneno ya msiba unayashadadia utadhani kafanya jinai ya kuua mtu, blood kabsaa
Marehemu gani anayedhalilishwa wewe sukumagang?
 
Back
Top Bottom