Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Alipe makosa ya kumchafua mtu malipo yake ni makubwa.
Alipe ili liwe funzo hilo tena ni kidogo mbona
 
Hoja yako hapo ni nini?
Musiba hakufanya kosa kwa sababu alikuwa analindwa na Magufuli?
Mahakama haijamtendea haki?
Na kwamba angekuwepo jambazi Magufuli hakimu asingetoa hiyo hukumu?
Na wewe jiulize kwa nini Musiba hakutaka kumuomba radhi Membe wala kuhudhuria mahakamani? Nani aliyempa kiburi hicho?
Sukumagang mnajulikana kwa reasoning zenu very shallow
Hoja zangu ziko clear.

Ila ninachoamini sio haki Mtu yeyote kudai alipwe kiasi hicho bure bure. Musiba hakumtia hasara yeyote Membe. Malumbano katika siasa ni kawaida na kama kuna mwqnasiasa hataki kuchafuliwa basi asiwe mwanasiasaa. Sio vizuri kutumia mahakama kumkomoa hasmu wako kisiasa.

Hizo mahakama zinaweza kuwa abused sana,, ripoti ya rushwa ya Warioba moja ya taasidi zilizolalamikiwa kwa rushwa ni mahakama.

KUomba radhi kabla ya hukumu ni hiyari, ila baada ya mahakamac kumtia mtu hatiani inaweza kuagiza mhusika aombe radhi hafharani na hapo ndoo huwa lazima.
 
Umpe kisamvu?
mbona unamatusi ya kizamani tu, leta mapya ili angalau yanishitu
Tutajuaje umepost upumbavu gani bila kufuata uzi wako tukukong'oli vizuri sukumagang wee
unateseka ukiwa wapi? Hoja iko hapo na huwezi kuinyofoa, lkn pia, kwani wewe ni mwehu? Unafuata hoja ya kijinga kuchangia kwa mjibu wako!
 
Hoja zangu ziko clear.

Ila ninachoamini sio haki Mtu yeyote kudai alipwe kiasi hicho bure bure. Musiba hakumtia hasara yeyote Membe. Malumbano katika siasa ni kawaida na kama kuna mwqnasiasa hataki kuchafuliwa basi asiwe mwanasiasaa. Sio vizuri kutumia mahakama kumkomoa hasmu wako kisiasa.

Hizo mahakama zinaweza kuwa abused sana,, ripoti ya rushwa ya Warioba moja ya taasidi zilizolalamikiwa kwa rushwa ni mahakama.

KUomba radhi kabla ya hukumu ni hiyari, ila baada ya mahakamac kumtia mtu hatiani inaweza kuagiza mhusika aombe radhi hafharani na hapo ndoo huwa lazima.
Kwa ufahamu wako Musiba alikuwa sahihi kuitisha press conference na kumshambulia personally Membe?

Na kwamba mahakama imekosea kukubali kuwa Musiba amefanya kosa kuona Musiba amefanya kosa la defamation dhidi ya Membe?

Na kwamba Musiba alikuwa anafanya siasa alipokuwa anamkashifu Membe? Musiba akiwa mwanasiasa wa chama gani na Membe wa chama gani?

Am I right kuwa hii ndio hoja yako?
 
mbona unamatusi ya kizamani tu, leta mapya ili angalau yanishitu

unateseka ukiwa wapi? Hoja iko hapo na huwezi kuinyofoa, lkn pia, kwani wewe ni mwehu? Unafuata hoja ya kijinga kuchangia kwa mjibu wako!
Wajinga hususan sukumagang mko wengi lazima tuwape akili kidogo.
Hivi waliosapoti huu uharo wako asilimia ngapi humu?
 
Ungedaiwa wewe iyo 9B ungeona ni sawa? Mbona kila siku unamsema marehemu kwa kumdhalilisha lakin hujawahi daiwa chochote, lakin maneno ya msiba unayashadadia utadhani kafanya jinai ya kuua mtu, blood kabsaa
Na wewe nenda Mahakamani kumtetea Marehemu anadhalilishwa huku, tutalipa fidia
 
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na kile wengi wanakiita ni kudhalilishwa

Hata tungelimshirikisha asiye na akili kuhusu madai hayo ya bilioni 9 kwa kosa tu la kuandikwa vibaya Mh Membe kwenye gazeti, nina hakika angelicheka kwa huzuni na mshangao

Naamini pia hata watoto wake ikiwa wana utu tu wa mbaali kabisa, wanaishangaa hii hukumu na tamaa iliyopitiza kiwango!

Msiba anayo makosa makubwa na hahitaji kutetewa, lakini bilioni 9 kwa kosa hilo, ni tamaa ya mlipwaji na inamdhalilisha mlipwaji

J.mosi njema
Mtahangaika sana ila mtu wenu atalipa na atafungwa kwenye gereza atakalochagua Membe na familia yake.

Musiba alisababisha biashara ya Membe na familia yake kufungwa. Membe alipokonywa hadi properties alizowekeza na fedha ya pension yake. Ndugu wa Membe walitekwa na rafiki zake wakalazimishwa kumdhihaki kwa kutumia vyombo vya habari vya Musiba ili wabaki kwenye vyeo vyao.

Kiasi unachodai ati tamaa wala hakitarudisha nusu ya fedha, mali, na heshima aliyopoteza Membe na ndugu zake. Waliokuwa wanahudhuria kesi hii mahakamani wanajua hasara aliyofanya Musiba kwa Membe na kwa tarafa mzima Kama sio wilaya mzma ya Mtama. Nadhani Musiba akitembelea mkoa wa Lindi bila ulinzi anaweza kushambuliwa na watu wenye hasira kali. Vita ya wamwera haina historia ya kusalimu amri isipokuwa msimamo, kujiamini, na haki.
 
Umechangia vema mkuu
 
Kwa ufahamu wako Musiba alikuwa sahihi kuitisha press conference na kumshambulia personally Membe?

Na kwamba mahakama imekosea kukubali kuwa Musiba amefanya kosa kuona Musiba amefanya kosa la defamation dhidi ya Membe?

Na kwamba Musiba alikuwa anafanya siasa alipokuwa anamkashifu Membe? Musiba akiwa mwanasiasa wa chama gani na Membe wa chama gani?

Am I right kuwa hii ndio hoja yako?
I strongly believe kuwa sio sahihi Membe kulipwa kiasi hicho cha pesa. Haya mambo ya kupqta hela kirahisi kirahisi ndio yanafanya wagi wengi wasipende kufanya kazi na badala yakec kufanya misheni tauni. Ni bora mtu akitiwa hatiani afungwe miezi sita kuliko anayedai kukashifiwa kulipwa mamilioni bika jasho.

Mahakama huwa zinakosea ndio maana kuna rufaa na reviews.
 
Back
Top Bottom