Makosa yanazidi kwa Wachezaji kuingia ndani ya Boksi kabla ya upigaji Penalti

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Penalti ya Yanga dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, ilimeacha makovu mkubwa sana kwenye medani ya soka kwa namna ilivyopigwa na kukubaliwa huku wachezaji zaidi ya wanne wakiwa ndani ya Boksi la lango la Namungo FC.

Kwa mara nyingine makosa hayo yamejitokea tena Jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Lupaso, (Mkapa Stadium), kwa wachezaji wa Azam FC kuonekana wakikimbilia kwenye eneo la boski kabla Bwalya hajapiga penalti kitu ambacho kinakizana na sheria za upigaji penalti kwa kuonekana wamemzonga golikipa au wameingilia kumchanganya golikipa.

Kwani hakuna mchezaji anayeruhusiwa kuingia ndani ya boski wala kiduara kilichopo ndani ya 18 wakati wa upigaji penalti, kwa kufanya hivyo penalti inatakiwa kurudiwa tena, hata kama mpigaji amepata au amekosa lakini penalti lazima irudiwe, na wachezaji kuelekezwa vizuri kitu ambacho hakikufanyika.

Haya ni makosa yanayozidi kuongeza malalamiko kwa wapenzi na wadau wa soka, kwa Waamuzi ambao wanapaswa kujifunza kama sio kujitafakari kisha kujirekebisha na kurudi kwenye kuzisimamia vema sheria za soka hususan sheria kuhusiana upigaji penalti ili kujiepusha kufungiwa kujihusisha na soka au kutozwa faini na mamlaka zinazosimamia soka na vile vile hatimaye kuigharimu Timu

Hakika Namungo FC dhidi ya Yanga pamoja na Simba SC dhidi ya Azam FC penalti zao zilinyongwa, na waamuzi walichezesha, ambapo Waamuzi walidial na mpigaji Penalti badala ya Kudial eneo zima la 18 kama sheria zinavyotaka.
 
Uko sahihi kabisa

Ndio maana tulimwambia Bwalya akiona hivyo ampasie golikipa ili adake. Mabingwa hatupendagi kupindisha kanuni....

Simba mwaka huu hatutaki ushindi wa magoli ya penalti. Ndio maana penalti zote tulizopata tumeamua kuzitoa sadaka

Sasa hesabu magoli ya penalti ya wale vyura wa Jangwani
 
Na ndio maana bwalya alikosa utulivu ikabidi tu ampasie kipa
 
Unaangalia ligi ya bongo tu
Umepata wapi kuhalalisha kosa kwa kuwa tu limefanyika Ulaya?

Kwahivyo Man City na Arsenal yakifanyika makosa basi hakuna tatizo tusiangalie sheria?

Akili za Manara hizi.. Hatushangai
 
Kwahivyo makosa yakifanyika bongo ni sawa kwa kuwa Ulaya yanafanyika..!

Man City na Arsenal yakifanyika makosa basi hakuna tatizo tusiangalie sheria kwa kuwa kule ni Ulaya au America Kusini.

Akili za Manara hizi...!
Wapeni geita goli lao kwanza
 
Kuna vitu mashangingi wa simba mnalalamika utadhani mmeanza kushabikia mpira juzi
 
Kuna vitu mashambiki wa simba mnalalamika utadhani mmeanza kushabikia mpira juzi
Manguri wa soka hapa tunazingumzia na kuangaza sheria na kanuni ambayo kwenye Litimu lako la Yanga huenda yakakukuta.

Kama huelewi si lazima kukubali ukweli.
 
Utalia sana mbwa wa kiarabu wewe hizi ni excuse za bwalya kukosa mambo kama haya huwa yanawachanganya marefa,

Uzi huu umejaa viashiria vya ukolo mtupu
 
Manguri wa soka hapa tunazingumzia na kuangaza sheria na kanuni ambayo kwenye Litimu lako la Yanga huenda yakakukuta.

Kama huelewi si lazima kukubali ukweli.
Mfungulieni chama basi awasaidie kupiga penati. si mlimfungia hotelin dar
 
Jana tena penalty ya ajabu wachezaji kama wote ndani ya box kabla mpira hujapigwa.

Waamuzi wanatakiwa kuongeza umakini.
 
Alishika au hakushika?
Wapi nimesema ameshika, au hakushika.. Kwanini inakuwa vigumu kujenga hoja kwa kile nilichokisema?

Nimeeleza waamuzi kuwa makini wakati wa upigani penalty, kwasababu wachezaji kuingia ndani ya box kabla ya mpira kupigwa si sahihi.
 
Back
Top Bottom