Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Penalti ya Yanga dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, ilimeacha makovu mkubwa sana kwenye medani ya soka kwa namna ilivyopigwa na kukubaliwa huku wachezaji zaidi ya wanne wakiwa ndani ya Boksi la lango la Namungo FC.
Kwa mara nyingine makosa hayo yamejitokea tena Jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Lupaso, (Mkapa Stadium), kwa wachezaji wa Azam FC kuonekana wakikimbilia kwenye eneo la boski kabla Bwalya hajapiga penalti kitu ambacho kinakizana na sheria za upigaji penalti kwa kuonekana wamemzonga golikipa au wameingilia kumchanganya golikipa.
Kwani hakuna mchezaji anayeruhusiwa kuingia ndani ya boski wala kiduara kilichopo ndani ya 18 wakati wa upigaji penalti, kwa kufanya hivyo penalti inatakiwa kurudiwa tena, hata kama mpigaji amepata au amekosa lakini penalti lazima irudiwe, na wachezaji kuelekezwa vizuri kitu ambacho hakikufanyika.
Haya ni makosa yanayozidi kuongeza malalamiko kwa wapenzi na wadau wa soka, kwa Waamuzi ambao wanapaswa kujifunza kama sio kujitafakari kisha kujirekebisha na kurudi kwenye kuzisimamia vema sheria za soka hususan sheria kuhusiana upigaji penalti ili kujiepusha kufungiwa kujihusisha na soka au kutozwa faini na mamlaka zinazosimamia soka na vile vile hatimaye kuigharimu Timu
Hakika Namungo FC dhidi ya Yanga pamoja na Simba SC dhidi ya Azam FC penalti zao zilinyongwa, na waamuzi walichezesha, ambapo Waamuzi walidial na mpigaji Penalti badala ya Kudial eneo zima la 18 kama sheria zinavyotaka.