Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY

Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki.

Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu.

Kiswahili hakina msamiati wa kueleza shukurani zangu kwake.
"Nayajua mapenzi yako kwa Mwalimu," kaniambia akinikabidhi hazina hii.

Kitabu hiki kina historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika katika picha na maelezo.
Yapo mengine mengi katika maisha ya Mwalimu.

Maneno hayatoshi kueleza yaliyomo ila uwe na kitabu hiki wewe mwenyewe mkononi unafungua ukurasa baada ya ukurasa.

Hakika kazi kubwa imepitika.
Tuna deni kubwa kwa waandishi wa kitabu hiki ambalo si rahisi kulilipa.

View attachment 3317692
Sawa ni mambo ya kawaida tu si big deal
 
Nmaanisha hawa wahuni baada ya mwaka 1961 waliona wamemaliza.

Kila siku Nyerere Nyerere aliwanyima ulaji, utafikiri nchi hii matatizo yameisha.

Leo Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uongo ya kunyongwa ila wako kimya kama vibudu.

Kama ni wapenda haki, mbona hatuoni hiyo haki wakiitetea.
Kwa Lissu hakuna mashataka ya uwongo. Iachie Mahakama tu.

Wote tumemsikia Tundu akisema watafanya UASI ili kukinukisha kuzuia uchaguzi wa Oktoba 2025.

Hilo lankuhamasisha UASI ni kosa la uhaini. Amekamatwa, amefungiwa mashtaka, tusubiri Hakimu atasema nini baada ya utetezi wa mawakili wake.

Serikali isingechukua hatua kwa matamshi kama hayo basi tungekuwa ni nchi ya HOVYO
 
Kwa Lissu hakuna mashataka ya uwongo. Iachie Mahakama tu.

Wote tumemsikia Tundu akisema watafanya UASI ili kukinukisha kuzuia uchaguzi wa Oktoba 2025.

Hilo lankuhamasisha UASI ni kosa la uhaini. Amekamatwa, amefungiwa mashtaka, tusubiri Hakimu atasema nini baada ya utetezi wa mawakili wake.

Serikali isingechukua hatua kwa matamshi kama hayo basi tunfekuwa ni nchi ya HOVYO
Safi sana. Umeeleza vyema
 
Back
Top Bottom