Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA

Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea.

Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho.

Allah amjaze kheri.

1728362298249.png

Mzee Said, Asalaam Aleykum, ikikupendeza ungeshare na sisi tuone.

Mwaki...
Kitabu hicho hapo chini kina kurasa 30.

Nimekisoma chote kwa muda mfupi sana.
Kinaeleza maisha ya Songea Mbano.

Unaweza ukajiuliza huyu Songea Mbano ndiye huyu aliyeandika barua kwa Sheikh Sultan Mataka bin Hamin Massaninga?

Huu ulikuwa wakati wa vita na barua hii aliandika kutafuta msaada wa kupigana na Wajerumani.

Katika barua hii anamtaja Chinyalanyala ambae jina lake la kwanza ni Omar.
Halikadhalika anamtaja pia Hassan bin Ismail na Kazembe.

Kazembe (51) alikuwa Nduna ila Hassan Ismail (53) alikuwa raia wa kawaida.
Hizo ni namba zao katika mnara wa majina ya walionyongwa na Wajerumani.

Kitabu hiki kimeniongezea taarifa muhimu katika historia ya Nduna Abdulrauf Songea Mbano.

1728389258330.jpeg
 
Mzee wangu naomba muongozo wa resources za kusoma historia ya utumwa hapa nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom