lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Naipandisha inakataa mkuu ...rangi imepauka mbaya mbovu mkuu..Ungeweka na kapicha mkuu
Ova, hata ya Kigoma, Tabora, nadhanikama zote zimesahaulikaUngeweka na kapicha mkuu
Acha kabisa mkuuBongo nyoso maktaba ni za kufumua upya. Vitabu vilivyopo ni vya enzi za kina Kaini na Abeli
Ipo siku ile maktaba mtaikuta kule mtoni, ile sehemu siyo nzuri hata kiusalama
Mimi nimeitumia sana nikiwa form four Arusha secondary miaka ya 2004, pale kwa utulivu ni sehemu sahihi ila kwa maswala ya usalama hapafaiNa hapo kuna Chokoraa/Vibaka wengi sana, hulala kule chini ya Mto, kusema ukweli binafsi sijawahi vutiwa hata kuingia hapo
Watu wa kaskazini wanapenda sana kusoma, ndiyo maana nyerere aliwaona kama threat kwenye uongozi wake, labda aliona wangeleta mabadiliko makubwa nchini na legacy yake ingepoteaKwenye miaka ya 1980s maktaba ya mkoa wa Kilimanjaro ilikua kimbilio la wenye kupenda kujisomea. Ilikua imesheheni vitabu vya taaluma mbalimbali, vitau vya kiada na ziada, vitabu vya hadithi na maarifa lukuki
Watu wazima na wanafunzi walifika kujisomea pale pale na pia kwa wale waliokua wanachama waliruhusiwa kuazima na kwenda kujisomea nyumbani
Haya ni mambo ambayo hlitakiwa yatiliwe mkazo na Serikali kuu au hata Halmashauri zetu kwa kujenga na kusimamia Maktaba za kujisomea vitabu angalau kwa kila Wilaya nchini. Kwa namna hiyo tutarejesha utamaduni wa watu hasa watoto na vijana kujisomea na kujiongezea maarifa
Usalama kivipi? Kuna vibaka humo ndani au?Mimi nimeitumia sana nikiwa form four Arusha secondary miaka ya 2004, pale kwa utulivu ni sehemu sahihi ila kwa maswala ya usalama hapafai
Safety....Usalama kivipi? Kuna vibaka humo ndani au?
Safety kwamba jengo linaanguka saa yoyote au unasemea safety gani? Au kuna wadudu hatarishi wenye sumu?Safety....
Kwa eneo kama eneo si pabaya, pametulia na kuhusu usalama unafikiri majambazi wataenda kuiba nini mle ndani? Isitoshe yale maeneo hayapo mbali na Central Police ya Arusha, ndio mana hata benki nyingi zipo kwenye line ile.Mimi nimeitumia sana nikiwa form four Arusha secondary miaka ya 2004, pale kwa utulivu ni sehemu sahihi ila kwa maswala ya usalama hapafai
Kwa ndani sio kubayaIle maktba imechoka. Kwa nje haina hata mvuto sijui kwa ndani itakuwaje