Maktaba: Muhidin Issa Michuzi na Picha Alizopiga Marehemu Mohamed Shebe 1950s

Maktaba: Muhidin Issa Michuzi na Picha Alizopiga Marehemu Mohamed Shebe 1950s

Huo ni mkutano wakitaifahapo sio makka wala msikitini
Mdukuzi,
Hao walioanzisha harakati hizi walikuwa Waislam wapo
katika mji ambao wengi wa wakazi wao na viongozi wa
harakati hizo walikuwa Waislam.

Achilia kuweka sehemu maalum ya kukaa wanawake.
Walikuwa wanaanza mikutano yote kwa kusoma dua.

Ndiyo maana unaona safari ya kwanza ya Nyerere UNO
dhifa ya kumuuaga ilifanyika jengo la Al Jamiatul Islamiyya
fi Tanganyika Mtaa wa New Street na Stanley.

Halikadhalika mkusanyaji wa fedha za safari alikuwa Iddi Faiz
Mafungo aliyekuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya na
Mweka Hazina wa TANU.

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika siku za mwanzo za TANU.

1745040121287.jpeg
 
Back
Top Bottom