Roho yako imejaa mawazo ya KISHETANI ZAIDI kuhusu upinzaniMembe huyu huyu aliyekubali kuacha kila kitu ccm ili tu awe kwenye ballot paper?
Endelea kuota mkuu.
Hakuacha ALIFUKUZWAMembe huyu huyu aliyekubali kuacha kila kitu ccm ili tu awe kwenye ballot paper.?
Membe hakuacha kila kitu, kule si unajua pia fomu ya uteuzi ilichapwa moja tu. ili kuzuia demokrasia ya ushindani ndani ya chama. walimfokea ,akaamua kuondoka.Membe huyu huyu aliyekubali kuacha kila kitu CCM ili tu awe kwenye ballot paper?