technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Magufuli anaenda kuangushwa kwenye uchaguzi wamwaka huu in landslide votes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora za kitoto kuliko mijitu mizima kama wewe roho za kishetani.Haaa,,,!!!Chadema mnandoto za kitoto sana.
Mtu atoe pesa za uchagu bila utegemezi aubli kupoteza itakuwa maajabuDon't waste your time na uchafu, rais ni Dkt Magufuli 2020-2025.
Kwahiyo cdm wamesamehe majimbo 50 ya Zanzibar? Na bara majimbo 65 hawajasimamisha wagombea, bado act kaweka wagombea nchi nzima. Bado watakaonyanganywa kura kama kafulila, hii Ni technical nockout
Mkuu habari njema Mara nyingi huwa kama hadithi ya kusadikika.Na iwe hivyo, AMINA...
Lililo la muhimu ni kuoñdoa mikosi na laana zote katika jamii ya Watanzania chanzo chake kikiwa ni dude liitwalo CCM...