Tetesi: Makubaliano CHADEMA/ACT Wazalendo: Membe kumsapoti Lissu kisha kuteuliwa kuwa Waziri wa Nje

Nyie mnataka kumuua profesa Membe hahahaha yani kaikimbia CCM kisa kuandikwa kwenye karatasi ya mpiga kura halafu leo hii mnamwambia ahadi za uwaziri mkuu hahahaha
 
Ni mpumbavu tuu anaweza kuweka akilini kuwa Lissu ataenguliwa.
Wewe ni mmoja wao
 
Naendelea kusoma kitabu cha TUSOME KWA HATUA, KITABU CHA PILI Kuna mengi Sana ya kujifunza.
Nimecheka sana,yaani watu wakielewa maana ya ulichokisema ndo wataelewa kwa nini Sumaye alijiunga Chadema dakika za mwisho😂😂😂,kweli TUSOME KWA HATUA, KITABU CHA PILI
 
Chakaza,
Itakuwa jambo zuri kabisa kwa upinzani nafikiri patachimbika October.
 
Chakaza,

Tatizo sio wapinzani kuungana, bali tatizo ni tume huru ya uchaguzi. Ni vyema kila chama kikasimamisha mgombea wake kuepuka miungano ambayo huko mbele hutumika kuchafuana. Muungano uwepo kwenye hoja za pamoja, kama tume huru ya uchaguzi, katiba mpya nk. Wangalau zile sehemu vyama hivyo vinapojijua vina nguvu ya dhahiri, tena hayo yafanyike kwa mgombea wa eneo husika kuridhia, kutokana na tathmini ya uhakika.
 
Labda kama wale asili wameamua kuongoza nchi kwa mgongo wa Tl kupitia Chadema
 
CCM wakisikia hivyo wanakimbilia kusema NEC haitatangaza!Mwaka watatangaza watake wasitake! Huu ni mwaka wa Mageuzi!
 
Mmeamua kuwafanyia hujuma ACT Wazalendo? mnaongeza misuguano kwani kwa Zitto mnaofanya ni mchezo mchafu. Hatajubali hujuma hizi za mapema.
 
Chadema walishalufafanua hilo,Kwamba Eneo Bunge ambalo Act wanakubalika basi Act ndio watagombea.Na eneo Bunge ambalo CHADEMA wanakubalika basi Chadema ndio watasimama kwa upande waBara. ila zanzibar Act itapewa nguvu na CHADEMA hivyo!
Kwahiyo Chadema wamesamehe majimbo 50 ya Zanzibar? Na bara majimbo 65 hawajasimamisha wagombea, bado act kaweka wagombea nchi nzima. Bado watakaonyanganywa kura kama kafulila, hii Ni technical nockout
 
Saf ndo dawa ya MACCM
 
S
Chadema walishalufafanua hilo,Kwamba Eneo Bunge ambalo Act wanakubalika basi Act ndio watagombea.Na eneo Bunge ambalo CHADEMA wanakubalika basi Chadema ndio watasimama kwa upande waBara. ila zanzibar Act itapewa nguvu na CHADEMA hivyo!
Sasa chadema si watasema sehemu zote wao ndo wanakubalika? Maana ACT ilikiwa kigoma jimbo moja tu.
Hayqo.yalishindikana 2015
 
Vyovyote iwavyo ili ushirikiano wa kuweka mgombea mmoja ni wa muhimu sana.
 
Apewe U PM Zito Uspika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…