M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,797 Reaction score 2,025 Aug 20, 2020 #81 Akasankara said: Roho yako imejaa mawazo ya KISHETANI ZAIDI kuhusu upinzani Click to expand... Yeye kauliza tu, kosa lake liko wapi?
Akasankara said: Roho yako imejaa mawazo ya KISHETANI ZAIDI kuhusu upinzani Click to expand... Yeye kauliza tu, kosa lake liko wapi?
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Aug 20, 2020 #82 Usipojifunza katika mtihani uliopita,usisubiri kuwa utafundishwa tena katika somo linalokuja,tusitegemee sana muda,kuna wakati muda ututegemee sisi,katu fisi hawezi kuwasaliti fisi wenzake eti kwa sababu ya tamaa ya mifupa.
Usipojifunza katika mtihani uliopita,usisubiri kuwa utafundishwa tena katika somo linalokuja,tusitegemee sana muda,kuna wakati muda ututegemee sisi,katu fisi hawezi kuwasaliti fisi wenzake eti kwa sababu ya tamaa ya mifupa.
M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,797 Reaction score 2,025 Aug 20, 2020 #83 Turnkey said: Waulize watu wa Mali..dunia imebadilika Click to expand... Mali ni Tanzania?
S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 Aug 20, 2020 #84 mwarobaini_ said: Hapo watakua wamecheza kama pele, ni mwendo wa mgombea mmoja na serikali ya umoja kati ya CDM na ACT. Click to expand... Unity is strength. Aksante.
mwarobaini_ said: Hapo watakua wamecheza kama pele, ni mwendo wa mgombea mmoja na serikali ya umoja kati ya CDM na ACT. Click to expand... Unity is strength. Aksante.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Aug 21, 2020 #85 NAWATAFUNA said: Haaa! Chadema mnandoto za kitoto sana. Click to expand... Na CCM mna siasa za kipumbavu sana
NAWATAFUNA said: Haaa! Chadema mnandoto za kitoto sana. Click to expand... Na CCM mna siasa za kipumbavu sana