Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Nimejaribu ku-read between the lines,je, wewe unaleta hoja zako hizi hasi kwa manufaa ya akina nani??You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23.
Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina.
Rwanda inadai kwanza, FDLR ifutwe, ndo na Rwanda itatoa hatua zake ilizoweka kwa kujihami.
Hapa, ni kama bado mpira upo mikononi mwa serikali ya Rwanda. Mpaka Rwanda iidhinishe kuwa kweli FDLR imeshavunjwa, na serikali ya DRC haina tena viashilia vya kuiunga mkono.
Hapo hapo, inasemekana kuna zoezi la kurudisha wakimbizi wa DRC waliopo kambini Rwanda, makwao, na kuwahakikishia usalama wao. Jambo ambalo linaipa M23 uhalali wa kukaa na kuzilinda Kivu zote mbili. FDLR hata ikiwepo, kwa sasa haiwezi kuingia Rwanda, kwa sababu Kivu zimeshakuwa kama ukuta kati ya DRC yenyewe na Rwanda.
Speaking at the signing event, Secretary Rubio said it was not easy to reach the agreement and noted that there is still work to be done in terms of implementation.
Kauli hii ya huyu bwana, ni kama na yeye hajasema lini makubaliano hayo yatatekelezwa, baada ya kusema kwamba njia bado ndefu kuhakikisha yanatekelezwa.
Je, baada ya kutia saini na kutekelezwa, kwa muda usiojulikana, hapo katikati ni nani mnufaika? Maada hapa ni deal la Rwanda, Marekani na DRC.
Isiwe DRC imejikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Trump nae :
Democratic Republic of the Congo (RDC) and Rwanda on Friday, June 27, 2025, President Donald Trump confirmed that the United States has obtained a significant share of Congo’s mining rights as part of the idea.
Ya wa le wote waliowahi kufuatilia mzozo kati ya DRC, Rwanda na M23Nimejaribu ku-read between the lines,je, wewe unaleta hoja zako hizi hasi kwa manufaa ya akina nani??
Sidhani kama inaweza kuwa. Kwa sababu, ukiangalia kwa mapana, utagundua China huko DRC ina masrahi makubwa sana kwenye mikataba ya madini. Jambo ambalo kwa kinachoendelea, ni wazi ilikuwa mbioni kuelekea mashariki. Na huko ndo kuna madili ya uhakika.Kwani huo ni mkataba wa kwanza wa amani?. Wameshasaini mikataba kibao in the past. Ila kwa sababu safari hii umesimamiwa na wapiganisha vita wenyewe labda utahold
Look, we were not born yesterday - the culprit shines brighter than Christmas TREE!! - karibu SANA, all the SAME.Ya wa le wote waliowahi kufuatilia mzozo kati ya DRC, Rwanda na M23
Mi silioni kwa mtazamo huo. kwa sasa kumbuka, hivyo vikosi havipo tena. Diplomatically na Politically, vilishakusanywa na kuitwa WAZALENDO. Na hao hao, ndo wanaoombewa DISARMAMENT NA CONDITIONAL INTEGRATION. AFC/M23, hili ni swala la Doha. Halihusu haya makubaliano. Nachokiona, haya yapo economic zaidi. Na issue kubwa, ni usalama wa makampuni hayo ya US. Je, una habari makampuni hayo yamesajiliwa Rwanda? Na, je, una habari madini yote hayo, ambayo DRC itakuwa inauzia, US, yanatakiwa yasafirishwe kwenda Rwanda kusafishwa?Dili lahusu, "disengagement, disarmament na conditional integration" ya vikundi vya waasi ambavyo ni zaidi ya 125.
Lakini hiyo Draft ya makubaliano hayo hakuna mahala yaonyesha maneno kama Rwandan troops au withdrawal au hat neno M23.
Na kwa kuwa Kingmaker ni Marekani na makampuni ya kimarekani yahitaji kuchimba madini ndani ya Congo DRC basi hiyo yamaanisha kwamba vikosi vya uasi viko njiani kupotezwa.
Bahati mbaya hata ukizaliwa kesho, hayanihusu. Ukiona mada haikuhusu, unapita kimya kimyaLook, we were not born yesterday - the culprit shines brighter than Christmas TREE!! - karibu SANA, all the SAME.
Mkuu hapa wamejaribu kitumia diplomatic language lakini weka maanani kwamba the main theme ni Rwanda kuondoa majeshi yake yote nchini DRC, come rain or shine bila ya kufanya hivyo msitegemee amani na uelewano wowote baina ya mataifa hayo mawili na tusipo kuwa makini watatumbukiza mataifa mengine ya Africa kwenye mzozo wao - vigumu kuelewa akili za jamaa hawa,kazi kujifikiria wao wenyewe na wakati mwingine kusema uongo kwa adithi za kufikirika tu, mradi waimege Kivu ya kaskazini na Kusini ni hilo tu lakini hapa hawalisemi.Dili lahusu, "disengagement, disarmament na conditional integration" ya vikundi vya waasi ambavyo ni zaidi ya 125.
Lakini hiyo Draft ya makubaliano hayo hakuna mahala yaonyesha maneno kama Rwandan troops au withdrawal au hat neno M23.
Na kwa kuwa Kingmaker ni Marekani na makampuni ya kimarekani yahitaji kuchimba madini ndani ya Congo DRC basi hiyo yamaanisha kwamba vikosi vya uasi viko njiani kupotezwa.
Unavoongea point, usingekuwa na kisilani kisicho na msingi. Hapa watu wanashea wanachokona,si wanachokijua.Mkuu
Mkuu hapa wamejaribu kitumia diplomatic language lakini weka maanani kwamba the main theme ni Rwanda kuondoa majeshi yake yote nchini DRC, come rain or shine bila ya kufanya hivyo msitegemee amani na uelewano wowote baina ya mataifa hayo mawili na tusipo kuwa makini watatumbukiza mataifa mengine ya Africa kwenye mzozo wao - vigumu kuelewa akili za jamaa hawa,kazi kujifikiria wao wenyewe na wakati mwingine kusema uongo kwa adithi za kufikirika tu, mradi waimege Kivu ya kaskazini na Kusini ni hilo tu lakini hapa hawalisemi.
Come again please!!!Unavoongea point, usingekuwa na kisilani kisicho na msingi. Hapa watu wanashea wanachokona,si wanachokijua.
#8. You have a very clear point; but you ignore that what we are sharing are our point of views,not decisions. From what you say at #11, it's clear Rwanda has become the African Israel.Come again please!!!
You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23.
Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina.
Rwanda inadai kwanza, FDLR ifutwe, ndo na Rwanda itatoa hatua zake ilizoweka kwa kujihami.
Hapa, ni kama bado mpira upo mikononi mwa serikali ya Rwanda. Mpaka Rwanda iidhinishe kuwa kweli FDLR imeshavunjwa, na serikali ya DRC haina tena viashilia vya kuiunga mkono.
Hapo hapo, inasemekana kuna zoezi la kurudisha wakimbizi wa DRC waliopo kambini Rwanda, makwao, na kuwahakikishia usalama wao. Jambo ambalo linaipa M23 uhalali wa kukaa na kuzilinda Kivu zote mbili. FDLR hata ikiwepo, kwa sasa haiwezi kuingia Rwanda, kwa sababu Kivu zimeshakuwa kama ukuta kati ya DRC yenyewe na Rwanda.
Speaking at the signing event, Secretary Rubio said it was not easy to reach the agreement and noted that there is still work to be done in terms of implementation.
Kauli hii ya huyu bwana, ni kama na yeye hajasema lini makubaliano hayo yatatekelezwa, baada ya kusema kwamba njia bado ndefu kuhakikisha yanatekelezwa.
Je, baada ya kutia saini na kutekelezwa, kwa muda usiojulikana, hapo katikati ni nani mnufaika? Maada hapa ni deal la Rwanda, Marekani na DRC.
Isiwe DRC imejikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Trump nae :
Democratic Republic of the Congo (RDC) and Rwanda on Friday, June 27, 2025, President Donald Trump confirmed that the United States has obtained a significant share of Congo’s mining rights as part of the hatari.
Mkuu huu ni mwanzo tuu na mkataba unahusu uwekezaji wa mamia ya mamilioni $. So atakayetaka kuendeleza vita atapasuliwa mbanga.Kwani huo ni mkataba wa kwanza wa amani?. Wameshasaini mikataba kibao in the past. Ila kwa sababu safari hii umesimamiwa na wapiganisha vita wenyewe labda utahold