mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Tatizo dereva tuliyenaye kwa sasa hana uzalendo.bila kuzidai huwezi kuzipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shida yenu vijana wa kitanzania mkipata kadiploma mkikosa ajira mnakuwa wajinga wajinga tu kila kukicha ni lawama na kuzua hoja za zisizo na maana sasa we hata hujui migodi ya barrick ipo wapi hata kusogea getini hujawahi halafu unaleta ujuaji wako,kuhusu makinikia waziri alishatoa majibu na watu wakaelewa sijui unaishi nchi gani wewe.Ni nini ulichokiona? Ilikuwa awamu ya usanii mwingi, sawa na tulivyoaminishwa kuwa ni donor country. Wajinga waliamini, wenye akili walijua ni hadithi sawa na zile za wti hapo zamani za kale wanyama wote walikubaliana kufanya mkutano. Mwenyekiti wao, Simba, akawaambia, ...
Mwenyw majibu ni yule profesa wa jalalani ndio alikua mstari wa mbele kwenye hizo negotiations.Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa kinahubiriwa majukwaani.
Kwa mfano, ujenzi wa smelter umeshaanza? Na kama umeanza, umefika asilimia ngapi ya utekelezaji?
Vipi kuhusu ile economic benefit ya 50 kwa 50?
Yako mengi tu ila kwa sasa siyasikii tena na sijui hata katika hili Bunge lililoisha majuzi kuna lolote lilijadiliwa kuhusu makubaliano haya
Mwenye majibu tafadhali.
Waandishi wa Habari wa nchi wa siku hizi wanafeli vibaya sana na wameacha wanasiasa ndio wawasetie agenda za kuandika na kuripoti.
Pathetic!
usitenge matako chini,tafiti.Ni nini ulichokiona? Ilikuwa awamu ya usanii mwingi, sawa na tulivyoaminishwa kuwa ni donor country. Wajinga waliamini, wenye akili walijua ni hadithi sawa na zile za wti hapo zamani za kale wanyama wote walikubaliana kufanya mkutano. Mwenyekiti wao, Simba, akawaambia, ...
Ila kiboko ya beberu ni UrusI!!Usicheze na beberu aisee
Hiyo deal ya wazungu na Mjomba Magu ilikuwa mtego wa panya,Lakini kwa ujinga wetu tukaamini ni 50-50%!!!toka lini 5th world economy state ikala sahani mmoja na Elon Musk class?Ni nini ulichokiona? Ilikuwa awamu ya usanii mwingi, sawa na tulivyoaminishwa kuwa ni donor country. Wajinga waliamini, wenye akili walijua ni hadithi sawa na zile za wti hapo zamani za kale wanyama wote walikubaliana kufanya mkutano. Mwenyekiti wao, Simba, akawaambia, ...