Makubaliano kati ya Serikali na kampuni ya madini ya Barrick, yametekelezwa kwa kiwango gani mpaka sasa?

Sasa shida yenu vijana wa kitanzania mkipata kadiploma mkikosa ajira mnakuwa wajinga wajinga tu kila kukicha ni lawama na kuzua hoja za zisizo na maana sasa we hata hujui migodi ya barrick ipo wapi hata kusogea getini hujawahi halafu unaleta ujuaji wako,kuhusu makinikia waziri alishatoa majibu na watu wakaelewa sijui unaishi nchi gani wewe.
 
Mwenyw majibu ni yule profesa wa jalalani ndio alikua mstari wa mbele kwenye hizo negotiations.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wapigaji wanakwambia Makinikia ni Mali ya mteja.., apende apeleke nje au achenjulie Tanzania ni uchaguzi wake yeye.
 
usitenge matako chini,tafiti.

peleleza,chunguza uijue nchi yako.

unadhani kuambiwa uchumi ulisinyaa ilikuwa ni kwa sababu gani??
 
Hiyo deal ya wazungu na Mjomba Magu ilikuwa mtego wa panya,Lakini kwa ujinga wetu tukaamini ni 50-50%!!!toka lini 5th world economy state ikala sahani mmoja na Elon Musk class?
Magu hakuwa mfanyabiashara ya madini mzoefu ukilinganisha na Team Barrick.
Hata yule Profesa Kabudi ni pure academician hana sifa za multi Billion dollars negotiation.,in short siyo Dr Henry Kissinger wa mikataba mikubwa,tena ni bora tungekodi mtu makini mwenye sifa akafanya kazi hiyo kwa uweledi kutoka Uingereza au Marekani hata Germany.
Ukija na hawa kamati ya makanikia ndio waliopotosha Mjomba Magu kabisa wanatakiwa wawe jela ya Isanga, tukiamini tutaweza kupewa Noah kila mtu,ndio huo uwoga wa kulinda mkate.
Kabla ya serikali kuingia mkataba ilitakiwa iteue independent competent commission iangalie makubaliano na iwekwe wazi marejeo halafu bunge lipate nafasi ya kutosha kuufanyia kazi yake.
But because it was one man show,majigambo mengi,na kelele nyingi ndio hizo penalt bila hata goal keeper.
Fools die by Mario Puzzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…