Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.

The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.

Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!

Soma Pia: Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya
 
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.

The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.

Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!
Tupoooo
 
TAZARA ni SGR. Labda wewe unahisi ili iwe SGR hadi iwe ya umeme
 
Hapa Samia amecheza kama Maradona, kuifungua upya TAZARA ili mzigo uliokuwa uende Msumbiji kupitia bandari ya nacola upungue.

Marais wakikutana wanachekeana mbele ya kamera lakini wakishaondoka ukumbini kila mmoja anajipanga ili afaidike na namna jiografia inavyompendelea.
 
Miaka zaidi ya 50 iliyopita Wachina walitujengea reli hii ikiwa bora kuliko ya mkoloni (reli ya kati). Wakatukabidhi nchi mbili (Tanzania & Zambia) ili tuitunze na kuiendesha. Leo tunawarudia tena waje kuiboresha? Sisi Waafrika, ni jambo gani tunaweza kulisimamia kwa ubora?
 
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.

The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.

Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!
Shida yenu kila kitu CCM kwani hiyo reli ccm walijenga
...ccm zambia waliomba msaada china nyerere akasema ipite tanzania.....hiyo project hele dolla 430 walitoa wachina bure kabisa kusaidia harakati za ukombozi pamoja kuipa mwanya zambia kuuza copper katika soka la dunia

Reli pekee imejengwa na ccm sgr.......
Tazara ilikuwa msaada wa bure tena wa uchungu maanaa china miaka hiyo nao walikuwa maskini kidogo
 
Hujui historia hiyo reli imejengwa chini ya ccm, imeharibiwa na ccm na sasa inakarabatiwa kwa kiwango cha chini na ccm.
 
Mimi nadhani ungeshauri ijengwe SGR nyingine...kwa ajili ya abiria wa maeneo ya kusini na hii wachina waendelee kukarabati kwa ajili ya mizigo ! Sasa unataka hii ivunjwe iwe SGR...sijakuelewa ujue
 
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.

The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.

Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!
Gauge ya SADEC yote ni MGR.
 
Siyo SGR.
Kwasababu spec zinasema SGR ni 1435mm ila MGR ni 1000mm, hiyo ya TAZARA ni Cape gauge ambayo ni 1067mm.
 
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.

The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge railway (MGR) infrastructure. This includes enhancing the tracks, signaling systems, and rolling stock to increase efficiency and capacity. The goal is to boost the rail-sea transportation network in East Africa, particularly aiding Zambia’s copper exports.

Lengo kubwa la reli ya TAZARA ni usafirishaji wa mizigo na sio abiria lakini ingekuwa vizuri ikawa SGR, upana huu huwezesha treni zenye mwendo na uzito mkubwa zaidi kupita. CCM mpo wapi?!
What a los!
 
Nashauri serikali iongeze kiasi Cha pesa ili kuiboresha iwe sgr kupunguza gharama za kujenga sgr nyingine Kwa mikoa ya kusini
 
Back
Top Bottom