Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

..Nini faida za TAZARA kuendelea kuwa CAPE-GAUGE-RAILWAY?

..Nini faida za TAZARA kubadilishwa na kuwa STANDARD-GAUGE-RAILWAY?

Cc Geza Ulole, ChoiceVariable , Mzee Mwanakijiji , Kichuguu , Mayor Quimby, Nguruvi3
Given that the maximum safe speed on 1067 mm gauge railway lines is 140 km/h, and on 1435 mm gauge lines is 350 km/h, would 1372 mm gauge lines be able to handle regular services at 180 km/h or 200 km/h?
Nchi za SADC zinatumia kipimo cha cape gauge, tukijenga SGR, treni itaishia Tunduma (mpaka wa Tz na Za), hata ile treni ya kifahari ys SA haitaweza fika tena Tz.
 
Naunga mkono hoja China to bring Tanzania-Zambia railway back to full speed with US$1 billion boost
Screenshot_20241004-080756.jpg
 
Hapa Samia amecheza kama Maradona, kuifungua upya TAZARA ili mzigo uliokuwa uende Msumbiji kupitia bandari ya nacola upungue.

Marais wakikutana wanachekeana mbele ya kamera lakini wakishaondoka ukumbini kila mmoja anajipanga ili afaidike na namna jiografia inavyompendelea.
Hapa wala issue siyo SAMIA.

Ni vita kati ya Mchina na Mmarekani na madini ya Congo.

Mmarekani ameshachukua reli ya Benguela inayotoka bandari ya Angola kwenda Congo, na Biden alienda huko.

Mchina kaamua kukomaa na TAZARA.

Wakenya walienda kuomba pesa ya kujenga SGR mchina akasema hatoi tena Pesa, ila ameamua kupendekeza $1 billion kwaajili ya TAZARA.

Na huu siyo mkopo, anataka PPP labda anapewa reli kwa miaka 30 then arudishe.

Ingekjwa ni mkopo angewapa Kenya walioenda kukopa wajenge SGR yao, imekwama njiani.
 
Back
Top Bottom