mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Mantiki utaionaje wakati huijui?
Tungejua tu kama kungekua na logic nzuri ya uandishi ,so far you are not a credible material ,you know why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mantiki utaionaje wakati huijui?
Mkuu Yeri Yeri, (sorry kutokutumia imposter title yako), kwanza asante kwa hadithi nzuri, sijui this time umecopy wapi na kuja ku pestia hapa, ila umefanya kazi nzuri kutuongezea ufahamu sisi tusiojua, thanks for that, but where is the link?!.
Hiyo simulizi inaonekana imeandikwa na mtu timamu ambaye kichwa kimetulia!.
Tatizo dogo la maelezo yako yote hayo, ni kukosekana tuu kwa linkage kati ya masimulizi yako na the real case scanerio ya makubaliano ya JK na EL, kama uweza kutuwekea details za makubaliano mengine yote kwenye simulizi yako, umeshindwaje kupata hayo makubaliano ya JK na umeshindwa vipi ku link sumulizi zako na hali halisi ya JK na EL?!.
Ni ushauri tuu, next time akiamua kuwa spin doctor mzuri, don't just cut and paste, but also find the linkage itakayoweza ku link pande zote mbili ili kutengeneza a good spinning circle, ili hiyo spinning yako iwe round so that you can be abble to spin it round and round like a record ya santuri!.
Ni ushauri tuu, otherwise umenikumbusha enzi za Jason Borne!.
Pasco
Umeongea mambo ya Msingi sana umenichefua mwish kwenye kuingia kutukana imani za watu....kwa kuwa nakuehshimu futa kauli yako hiyo ya mwisho....nina amini sana uwepo wa imani za mababu zangu kwa kuwa asili yangu nami ni Mwafrika ...lakini naheshimu pia imani za watu wengine...Na imani ya mababu zangu haikuwa na uchoyo na kejeri za imani zingine ..sasa matusi yako nachukizwa na umaliziaji wako..Futa hiyo sentensi niliyoboard ili uonyeshe heshima kwa imani za wengine.Kuwa na imani tofuati na wengine hakuonyeshwi kwa mifano mibovu kama uliyotoa hapo mwisho.Nisaidie futa maneno yako hayo tusafiri pamoja Yericko...na ujumbe wako utakuwa na mantiki yenye busara heshima ni jambo la buree...kama wakati unaandika hilo cha ARUSHA kilikuwa na NTA kali kuliko cha kwenu IRINGA tembelea wakuoe cha MBOKA MANYEMA chenyewe ka ujadata wakati wenyeji ndio ugenius unaongezeka.Hebu toa sentensi hiyo au moderetors wakusaidie nitasimama mpaka wametoa.Makubaliano ya ......
Hata aje Mtume Mohamed au Yesu Kristu atake kugombea uongozi nchini Tanzania kupitia ccn, ilimradi iwe kupitia ccm basi hao HAWAFAI na ni Laaana kuu!.
Yeriko katika ubora wake umecopy kama ilivyo kwenye documentary ya CNN
Umeongea mambo ya Msingi sana umenichefua mwish kwenye kuingia kutukana imani za watu....kwa kuwa nakuehshimu futa kauli yako hiyo ya mwisho....nina amini sana uwepo wa imani za mababu zangu kwa kuwa asili yangu nami ni Mwafrika ...lakini naheshimu pia imani za watu wengine...Na imani ya mababu zangu haikuwa na uchoyo na kejeri za imani zingine ..sasa matusi yako nachukizwa na umaliziaji wako..Futa hiyo sentensi niliyoboard ili uonyeshe heshima kwa imani za wengine.Kuwa na imani tofuati na wengine hakuonyeshwi kwa mifano mibovu kama uliyotoa hapo mwisho.Nisaidie futa maneno yako hayo tusafiri pamoja Yericko...na ujumbe wako utakuwa na mantiki yenye busara heshima ni jambo la buree...kama wakati unaandika hilo cha ARUSHA kilikuwa na NTA kali kuliko cha kwenu IRINGA tembelea wakuoe cha MBOKA MANYEMA chenyewe ka ujadata wakati wenyeji ndio ugenius unaongezeka.Hebu toa sentensi hiyo au moderetors wakusaidie nitasimama mpaka wametoa.
Kwa kumtaja YESU na MTUME MOHAMED ambao umewadhihaki ni UPUNGUANI...uku dhahiri ukijua kuwa VIAPO tunatumia BIBLIA ambayo ni YESU na QURANI ambayo ni MTUME MOHAMED kutoa AGANO la kusimamia MAKUBALIANO tukiamini wako JUU ya MAMLAKA.Usiangalie watu KUDHIHAKI vitabu hivyo kwa kujiapiza kwa vitabu hivyo lakini bado wakafanya tofauti na viapo vyao kupitia vitabu hivyo HUKUMU YAO hiko hapa hapa DUNIANI.Natambua uwezo wa IMANI za mababu wa zamani kutokuwa na MZAA wa kutoa HUKUMU KWA HARAKA ZAIDI kwa MTU ambae ANAKIUKA imani ya kutenda ndivyo sivyo juu jamii yake ukilinganisha na utendaji wa IMANI hizi za YESU na MTUME MOHAMED ambazo nazo zinatenda pia kwa namna yake hivyo ziheshimu
Analysis yako ni nzuri imejaribu kutufikirisha nje ya box ...lakini umechefua mimi umaliziaji japo ulitaka kusema jambo la msingi...kuwa hata kwa imani za mababu zako makubalino hayo yao wawili HAYAHUSIANI HAtA kIDOGO NA MAMLAKA YA TAIFA..NA KUWA WALIKUTANA MITAANI WAKIWA MARAFIKI NA WATALUDI KUKUTANA MITAANI KAMA MARAFIKI NA SI KUPEANA MWIKULU KAMA RAFIKI ANAVYOWEZA KUMPA RAFIKI YAKE SHATI AU KIATU MITAANI.
IKULU NI ROHO YA TAIFA .....Kwa waliotoka nafasi za kichifu wanaweza kuwa na maneno mepesi ya kusema kwanini agreement hiii HAINA NAFASI NA JIBU LAKE NI JEPESI SANA...VITU VYA KIROHO HAVIGAWIWI NA BINADAMU KAMA PEREMENDE.
Siawapendi vibaya mno watu wa aina yako...nyie ndio usikute uko ofisi ya serikali mkataba unaletwa ukiwa na page mia tatu unasoma summary unasign .pum......dam...kama kigogo kweli kigogoooo...Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?
Ya Mashariki ya kati wewe iliipandisha 28th July 2014 15:15,Mkuu wangu Pasco,
Niseme wazi, hapa Jf wapo watu watatu, hawa kwakweli nikijadiliana nao ama nikisoma maandiko yao huwa najiona watu wa damu yangu kabisa, hawa ni ndugu zangu kifikra na kifalsafa, kwamaana tumezaliwa anga moja, na sio wengini bali mzee wangu wa hekima za nera Meg3, Nguruvi3 na kijana wangu MWANAKIjiji
Sijui na sielewi wewe upo sampuli ipi lakini huwa naheshimu imani na ufuasi wako kwa mtu yeyote atakayekuhakikishia udhibiti wa tumbo lako, hicho nacho ni kipaji adhimu mkuu kitunze na ukilinde kitakulinda!
Suala la makala haya wala lisikupe homa mithiri ya umtumikiaye, haya ni makusa ya makala zangu mbili,
Moja hii hapa
https://www.jamiiforums.com/interna...l-kuitetea-na-kuilinda-nchi-yao-ya-ahadi.html
na nyingine hii hapa
https://www.jamiiforums.com/interna...eni-na-uvamizi-wao-katika-ardhi-ya-congo.html
Ndefu mpk inaboa ila hongera kwa kufuatilia mambo
Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?
Ya Mashariki ya kati wewe iliipandisha 28th July 2014 15:15,
Ya Congo wewe ukaipandisha humu 13th August 2013 07:47. Rudi kwenye original source angalia walitoa lini!,
Simulizi ya Mashariki ya Kati, umenyofoa kutoka Mgogoro wa Mashariki ya Kati - Maisha ni Vita - Blogger wakati simulizi ya Congo, umenyofoa kutoka hapa Mkataba wa kuuza Kongo huu | Gazeti la MwanaHalisi
Kikawaita kama unaoga mtoni, halafu kichaa akaiba nguo zako na kutaka kukimbia nazo, mstaarabu utachutama kusubiria msaada!. Wewe Yeriko ni mwizi tuu kama waizi wengine!, umeshikwa chutama!. Huku kujilingalisha na kina Mag3, Nguruvi3 na kijana wangu MWANAKIJIJI, ni kutaka kuwadhalilisha kuwa na wao ni ma plagiarist kama wewe!, lini umewasoma copy cut zao?!.
Mimi Pasco wa jf, najikubali sio GT wa humu, ni mtu wa kawaida, lakini ni heri kuwa mtu wa kawaida with the originality, kuliko kujifanya a GT kwa plagiarism!.
Pasco
Mkuu Yeri Yeri, (sorry kutokutumia imposter title yako), kwanza asante kwa hadithi nzuri, japo ni cut and paste, ila umefanya kazi nzuri kuwaongezea Watanzania wengi ufahamu kwa vile sisi Watanzania wengi ni wavivu kusoma!.
Sorry to say hiyo ni simulizi imeandikwa na mtu timamu ambaye kichwa kimetulia! na sio wewe master spin doctor!.
Simulizi ya Mashariki ya Kati, umenyofoa kutoka Mgogoro wa Mashariki ya Kati - Maisha ni Vita - Blogger wakati simulizi ya Congo, umenyofoa kutoka hapa Mkataba wa kuuza Kongo huu | Gazeti la MwanaHalisi huu ni wizi wa mchana kweupe!, wizi ni wizi tuu, anayefanya wizi ni mwizi tuu, wizi wa literary work ukajifanya umeandika wewe unaitwa plagiarism, mwizi huyo anaitwa plagiarist!, japo ukiiba in good faith kwa ajili ya kuwasaidia wengine kuelimika ni wizi mzuri, ulipaswa utoa haki kwa just to mention the source!, yaani kutoa attribution, unless kama hizo kazi zote mbili, mwandishi wa kwenye original source ni wewe, then ungesema!, contrast kati ya vichwa vya ulichocopy na kichwa chako humu jf kinafahamika wazi!.
Tatizo dogo la maelezo yako yote hayo, ni kukosekana tuu kwa linkage kati ya masimulizi yako na the real case scanerio ya makubaliano ya JK na EL, kama uweza kutuwekea details za makubaliano mengine yote kwenye simulizi yako, umeshindwaje kupata hayo makubaliano ya JK na umeshindwa vipi ku link sumulizi zako na hali halisi ya JK na EL?!.
Ni ushauri tuu, next time akiamua kuwa spin doctor mzuri, don't just cut and paste, but also find the linkage itakayoweza ku link pande zote mbili ili kutengeneza a good spinning circle, ili hiyo spinning yako iwe round so that you can be abble to spin it round and round like a record ya santuri!.
Ni ushauri tuu, otherwise umenikumbusha enzi za Jason Borne!, the master copy cut wa jf!.
Pasco
Jifunze kuandika summary...likitu reeefu hivi nani asom e au unatulipa kwa kusoma?